Wakuu,mm ni mfanyabiashara mdogo na biashara zangu Huwa mara nyingi natia Dar nampeleka Kijiji Cha Komkonga wilaya ya Handeni Mkoba wa Tanga. Sasa nataka kupanua soko nihamie mikoa mingine kwakua Komkonga Nina wateja wa oda wa uhakika.
Naomba Kila mmoja wenu anisaidie ratiba ya MINADA ya Mkoba alipo.
Target yangu kwasasa nielekee Manyoni na Tabora. Ndoto yangu ni kufikisha huduma zangu nchi nzima niwe na wateja wa oda.
Ahsanteni kwa kusoma Uzi wangu nataraji msaada wenu uliyotukuka. Mbarikiwe