Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,287
- 2,437
Upuzi huo nikuwafanya kuvimba vichwa vyao, kwalipi walilo fanya 2010-2015
Kuruskha makonde, kupiga kelele kusimamisha shughuli za bunge na matusi bungeni
Upuzi huo nikuwafanya kuvimba vichwa vyao, kwalipi walilo fanya 2010-2015
Wenye akili kamazao ndio waende kuwapokeaKuruskha makonde, kupiga kelele kusimamisha shughuli za bunge na matusi bungeni
Ajenda kuu
Wenye akili kamazao ndio waende kuwapokea
Kama ntapatwa na huo ugonja sawa ajabu tumesha vika nusu mwaka sasa sijaupataMwaka huu utahara sana
Maamuzi yako?Miswada ya kihuni iliyoletwa bungeni kihuni ili waendelee kushirikiana na wageni kuliibia taifa kupitia mikataba ya kimangungo ya gesi na madini
Ajenda kuu
Shibuda, Arfi na Hamad Rashid watakuwepo safarini?
Mzee Tupatupa
Shibuda, Arfi na Hamad Rashid watakuwepo safarini?
Mzee Tupatupa
Kutakuwa na Mapokezi makubwa ya Wabunge wa UKAWA. Kutoka Dodoma, wananchi watawapokea njiani na kuwasindikiza mpaka Dar Routes; watapokewa Kibaigwa, kisha Mdaula, Chalinze, Ruvu Darajani, Mlandizi, Kibaha Mjini, Mbezi Mwisho,Na hatimae Jangwani au Mwembeyanga.
Siku kamili, Loading.
Na huku mikumi watapita lini?
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hadi inashangaza !Hii haisaidii kitu goli limeisha ingia na mpira umeisha , wewe sasa badala ya kupambana upate matokeo mazuri uwanjani wasubiria ushindi wa mezani. UKAWA kwenye hili imekula kwao , watafanya haya kujifurahisha ila haisaidii kitu
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hadi inashangaza !
tunawasubiri kwa hamuKutakuwa na Mapokezi makubwa ya Wabunge wa UKAWA. Kutoka Dodoma, wananchi watawapokea njiani na kuwasindikiza mpaka Dar Routes; watapokewa Kibaigwa, kisha Mdaula, Chalinze, Ruvu Darajani, Mlandizi, Kibaha Mjini, Mbezi Mwisho,Na hatimae Jangwani au Mwembeyanga.
tunawasubiri kwa hamu sana
Siku kamili, Loading.
Hawa ni wanafiki wamekimbia kutuwakilisha bungeni hawastahili mapokezi yeyote ni ujinga na ni majinga ndo yatakayofanya shwreehe kuwapokea