Ratiba ya mapokezi ya Wabunge wa UKAWA

Ratiba ya mapokezi ya Wabunge wa UKAWA

Chadema na ukawa Kutangaza nia kwenye kata majimbo yanayongizwa na CCM ruksa sasa je mbona kwenye uraisi hawatangazi au Raisi ni UKAWA? Wanachama was chadema na ukawa wanaperekeshwa kama magari mabovu kweri mijitu imeshikwa akiri wewe unayejita mwanachama wa chadema tangaza nia ya kugombea uraisi kama hajafukuzwa mchana kweupe kama panya ndorobo weeeee chezea sacosi ya wachaga.

akiliyako mbovu mawazoyako finyuuuuu
 
Kwa kawaida mtu .wenye akili kama yako huwa tunam-count out! Pole ewe mtanzania usiyeelewa mchango wa mashujaa hawa kwa mama Tanzania!!!!
Upuzi huo nikuwafanya kuvimba vichwa vyao, kwalipi walilo fanya 2010-2015
 
Back
Top Bottom