Ratiba ya mapokezi ya Wabunge wa UKAWA

Ratiba ya mapokezi ya Wabunge wa UKAWA

hivi hawa wapinzani wanamatatizo gani? mbona miswaada iko poa sana? au walidhani watashinda uchaguz the waje waandae ya kwao? mtawakamata wajinga wezenu
 
Chadema na ukawa Kutangaza nia kwenye kata majimbo yanayongizwa na CCM ruksa sasa je mbona kwenye uraisi hawatangazi au Raisi ni UKAWA? Wanachama was chadema na ukawa wanaperekeshwa kama magari mabovu kweri mijitu imeshikwa akiri wewe unayejita mwanachama wa chadema tangaza nia ya kugombea uraisi kama hajafukuzwa mchana kweupe kama panya ndorobo weeeee chezea sacosi ya wachaga.
 
Mnaona sifaaa kukimbia wajibu wenu,tumechoka na tabia yenu ya kukimbia uwanja wa vita,hamna lolote....
 
Kwanini Morogoro haimo? Yaani toka Kibaigwa mpaka vitongoji vya Pwani!?!
 
Mapokezi ya nini wakati wamemwachia nyani shamba la mahindi?
 
walivyotoka bungeni walinibore sana walipaswa wakae pale wachangie hoja zao walivyoondoka itasaidia nini? wasitangaze wamefukuzwa maana aloambiwa atoke ni mmoja wakaropoka "tunatoka woteeeeeee" bi mcharuko akwaambia basi ondokeni kama mnataka, wakatoka kweli ili wapate cha kuongea kuwa wanaonewa. mawazo yao ni ya muhimu sana yaan hamu nao sina tena
 
Tumechoka na tabia za ukawa kukimbia bunge. Tumewatuma waende bunge kujadili mambo yetu sasa wao badala kubishana kwa hoja wanatoka nje sasa kutoka nje kumesaidia nini? This is shame.
 
Chadema na ukawa Kutangaza nia kwenye kata majimbo yanayongizwa na CCM ruksa sasa je mbona kwenye uraisi hawatangazi au Raisi ni UKAWA? Wanachama was chadema na ukawa wanaperekeshwa kama magari mabovu kweri mijitu imeshikwa akiri wewe unayejita mwanachama wa chadema tangaza nia ya kugombea uraisi kama hajafukuzwa mchana kweupe kama panya ndorobo weeeee chezea sacosi ya wachaga.

Huo ni utoto
 
Hawa ni wanafiki wamekimbia kutuwakilisha bungeni hawastahili mapokezi yeyote ni ujinga na ni majinga ndo yatakayofanya shwreehe kuwapokea

Wakuwakilishe kwani uliwachagua wew. Kama ulichagua mifisadi unalalamika nini? Sisi ndo tuliowachagua ukawa na tumewaita sisi huku mtaani baada ya ccm kuwafukuza huko mjengoni . Jengo lenyewe limejengwa kwa kodi zetu
 
Tumechoka na tabia za ukawa kukimbia bunge. Tumewatuma waende bunge kujadili mambo yetu sasa wao badala kubishana kwa hoja wanatoka nje sasa kutoka nje kumesaidia nini? This is shame.

Wamefukuzwa baada ya kupinga hoja zenye utata, utata gani? Subiri wakati wa implementation. Fuel, gas, nk. Haya ni mojawapo. Hata issue ya katiba ccm ilitumia zaidi ya tsh billioni 200 na katiba imepatikana eti eheee??
 
Tumechoka na tabia za ukawa kukimbia bunge. Tumewatuma waende bunge kujadili mambo yetu sasa wao badala kubishana kwa hoja wanatoka nje sasa kutoka nje kumesaidia nini? This is shame.

Hawa wabunge wa ukawa hawajatoka ktk jimbo lako wala hukuwachagua . Tuliwachagua ccm makamanda. Nyie mlituchagulia mafisad8 wanaotutesa. Tumewaita makamanda wetu tuje kuwapa rasmi ucheif maana wamepambana ipasavyo. Safi sana. Wew baki na makinda wako
 
hivi hawa wapinzani wanamatatizo gani? mbona miswaada iko poa sana? au walidhani watashinda uchaguz the waje waandae ya kwao? mtawakamata wajinga wezenu

Wew una akili fupi sana. Hata sheria hujui kutafsiri hujui , unajifanya umeielewa wakati wew ni sawa na wabunge wako wa ndio!!! Wanafiki wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom