Ratiba ya mapokezi ya Wabunge wa UKAWA

Ratiba ya mapokezi ya Wabunge wa UKAWA

Karibuni. Intarahamwe wamefanya yao njoo tuwapokee tutawafanyia yetu october
 
Kutakuwa na Mapokezi makubwa ya Wabunge wa UKAWA. Kutoka Dodoma, wananchi watawapokea njiani na kuwasindikiza mpaka Dar Routes; watapokewa Kibaigwa, kisha Mdaula, Chalinze, Ruvu Darajani, Mlandizi, Kibaha Mjini, Mbezi Mwisho,Na hatimae Jangwani au Mwembeyanga.

Siku kamili, Loading.
Mkuu mimi ni raia wa kawaida sijui chochote naomba unifahamishe ni kipi ambacho wapinzani wanagomea ambacho kipo kwenye huo mswada wa petrol kabla sijaenda kwenye maaandamo naomba kujuzwa.
 
Japo mleta mada ameandika kishabiki kwa hofu ... Natamani iwe hivyo... Inauma sana hawa MaCCM wanavyojaribu kuuza Gas yetu kama walivyo mess-up kwenye Dhahabu na Mashirika ya umma ... Mikataba ya kifisadi ...
 
Shibuda, Arfi na Hamad Rashid watakuwepo safarini?

Mzee Tupatupa

1. Shibuda ni Mbunge wa CCM kupitia CHADEMA - Kwa hiyo hausiki na UKAWA
2. Hamad rashid ni Mbunge wa CCM kupitia CUF - Kwa hiyo hausiki na UKAWA
3. Arfi ameishatangaza kujivua uanachama wa CHADEMA na ameweka wazi kuwa ataishabikia CCM au ACT kwa hiyo hausiki na UKAWA.

*** Hitimisho hao wote uliowataja sio wabunge wa vyama vya upinzani vinavyounda UKAWA.
 
Mkuu mimi ni raia wa kawaida sijui chochote naomba unifahamishe ni kipi ambacho wapinzani wanagomea ambacho kipo kwenye huo mswada wa petrol kabla sijaenda kwenye maaandamo naomba kujuzwa.

Nawe niambie,Kulikuwa na sababu gani za kuwasilisha kwa hati ya dharura kabla ya ushirikishwaji wa wananchi na wadau?
By the way karibu tuwapokee makamanda wetu!
 
Nawe niambie,Kulikuwa na sababu gani za kuwasilisha kwa hati ya dharura kabla ya ushirikishwaji wa wananchi na wadau?
By the way karibu tuwapokee makamanda wetu!

Unapoteza muda kujibizana na mwehu huyo Ritz. Hao ni wa kuwapuuza tu.
 
Sina muda mchafu kuandamana kwa biashara ya lowasa na mangi wazee wa kulilia vitalu vya gesi!!
 
Sina muda mchafu kuandamana kwa biashara ya lowasa na mangi wazee wa kulilia vitalu vya gesi!!

Muda unao na ndio maana upo upo tu hata leo ukiulizwa kwa nini nchi yako ni masikini utasema kamuulize Nd g Kikwete Nyambafu kabisa.
 
wameishiwa sera. cwananchi kwa sasa tunajitambua, tutaisoma miswaada wenyewe then tutajua kama mizuri au mibovu
 
wameishiwa sera. wananchi kwa sasa tunajitambua, tutaisoma miswaada wenyewe then tutajua kama mizuri au mibovu
 
Mkuu mimi ni raia wa kawaida sijui chochote naomba unifahamishe ni kipi ambacho wapinzani wanagomea ambacho kipo kwenye huo mswada wa petrol kabla sijaenda kwenye maaandamo naomba kujuzwa.

Mkuu unafahamu tax holiday ya miaka 30?.....kama taifa, ina tuhusu tena
 
wakifika watwambie walichotumwa na mengi pamoja na waingereza juu ya mswaada wa gesi na mafuta.

acha ufala hizi juhudi ni kwa ajili ya kizazi chako kijacho kisijepata shida, sasa ww kisa unapewa buku7 kila siku kwa ajili ya kuwalamba miguu Magamba bac unajisahau kuwa kuna wananchi karibia 80% wanateseka na miswada hii mibovu.... Kama umeshiba ni bora unyamaze kuliko kupandsha hasira watu.
 
Back
Top Bottom