Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

No, sio hivyo,ushawahi kufikiria otherwise?

Mfano hata mimi sioni mantiki ya kusikiliza hotuba ya CAG ilihali najua wazi kabisa hakuna hatua za uwajibikaji zitazochukuliwa kwa hao watao onekana kufuja pesa za kodi zetu.

Hiyo hotuba kama haitakuwa na impact ya uwajibikaji kuwafanya watawala waogope kufuja pesa, then why should I waste my time watching it?

Mimi nayapima zaidi haya maandamano kupitia upande wanaojaribu kuyazuia, resistense wanayoionesha inaonesha wazi kabisa hiki kitu ni real.

Wameziweka media zote mifukoni mwao wakidhibiti zisitangaze content yoyote kuhusu maswala ya maandamano isipokuwa zile content zenye kutishia waandamanaji.

Wamenunua viongozi wa dini, wanaharakati, wasanii, influencers na public figures wengine ili wajaribu kuwahimiza wananchi wasiandamane.

Na jana nimeona hadi media za Kenya nazo zimelipwa ili kuwatisha waandamanaji.

Mkuu wa majeshi anazunguka kila mkoa kuwataka wanajeshi wasiungane na wananchi watao andamana.

Na kuna tetesi pia kuwa kuna wanajeshi kutoka UG wamekodiwa kwa ajili ya kuzuia maandamano kufuatia kauli ya Captain Tesha aliyodai wanajeshi wapo upande wa wananchi.

So, mimi siwezi kufikiria kuwa hayo yote yanaweza kufanywa na mtu ambaye anajua uhalisia kuwa hakuna lolote litafanyiika, watanzania ni waoga, maandamano yataishia mtandaoni.
 
Zimebaki siku 2 waandamanaji mpooo?
Mnasubiriwa kwa hamu sana maana mkishiba ugali mnataka kusumbua watu mtaani tu badala ya kwenda kunyamba kwenu.
Au kazi tu
Sasa mnasubiriwa,
na ole wenu msije pumbavu nyinyi mtafwata hukohuko kwenu kuwavunjavunja..
SIsi ndugu kwasasa hatusaidii chochoteπŸ™Œ
 
Kumbuka, baada ya tarehe 29, usirudi tu humu na ID mpya Bwiru Girls High schools.....
 
Acheni utani, kwa ulinzi wote huu imara hayo maandamano yatapita wapi?
 
Waambie watupe pair mbili basi tuvae kama waoπŸ€”
πŸ˜…πŸ˜… Usijali utakaa nyuma yangu, ubebe kale kabegi ka vitendea kazi kitaeleweka kuna code wametupa
Your browser is not able to play this audio.
 
Kweli kijana uko serious ntakuja na spika yangu ya kusajilia laini tuplay hili song kwenye mobπŸ˜‚
Ohoo! Siee tunaongeza kasi maana washapoteanaa tayari hawa wapuuzi. Uje na JBL zina ongeza hamasa. Hakuna kurudi nyuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…