Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,760
- 19,997
Unaanza KUJILEGEZA eehhh...Jamani Mtwara mbona katusahau?
Unaanza KUJILEGEZA eehhh...Jamani Mtwara mbona katusahau?
Nilikuwepo mkutano wa Lissu Furahisha Mwanza, Kigoma na Kahama, hakika mimi na familia, ukoo wetu wote, marafiki na mates mbali mbali kwa kauli moja tumekubaliana kura zetu ni kwa Lissu. Hatuwezi kufokewa sisi na mafisiem halafu tuwape kura. Wakawandanganye Wagogo wa Kongwa ambao miaka mitano wamekuwa wakishindia ubuyu na sasa wanakubali kupakiwa kwenye matrekta kupelekwa kwenye fiestra Dodoma kujaza vichwa, wamesahau shida.Naendelea kumuomba Mungu Niweze kushiriki Mkutano mmoja wa Kampeni ya Urais, Hasa ya huyu mbeba maono. Kura nimejitahidi kumuombea za kutosha kwa ndugu, Jamaa, marafiki, wapinzani nk
Sasa kwetu "Ntwala" mbona siioni somooo?
Baaa.....afu we nkolofiiii😂
Somooo..... nilikuwa namaanisha "Ntwala N'jini".....Nanyumbu, na Newala, ni wilaya za mkoa wa Mtwara.
..kwa hiyo atafika Mtwara usiwe na wasiwasi.
Ni yeye......manyara tunamsubiria kwa hamu sendeka na tumbo lake akaliegeshe ngabomoaRATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA TOWN
TAREHE 22.10.2020
1. WETE
2. CHAKECHAKE
3. MKOA MAGHARIBI
4. PEMBA
TAREHE 23.10.2020
1. LINDI
2. NACHINGWEA
3. NEWALA
4. NANYUMBU
TAREHE 24.10.2020
1. TUNDURU
2. NYASA
3. SONGEA
TAREHE 25.10.20201
1. CHEMBA
2. SINGIDA
3. IKUNGI
TAREHE 26.10.2020
1. SAME
2. HANDENI
3. PANGANI
TAREHE 27.10.2020
DAR ES SALAAM STAND UP .
TAREHE 28.10. 2020
KURA YA NDIO KWA #TUNDU LISU MAPEMA SANA.
Share kila mtu aipate ratiba hii
Alphonce Shadrack Paul
Mlongo wangu timlindila abwalai, tukumnogela sana mkombozi wituYaelekea upo Songea member! Kwa ratiba hii nahisi ataruka. Matarawe patabana
Somooo..... nilikuwa namaanisha "Ntwala N'jini"...
Mapema kbs niko zangu kituo ila sitapiga Kira hadi muda ya jioni ili kuona nn kinaendeleaRATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA TOWN
TAREHE 22.10.2020
1. WETE
2. CHAKECHAKE
3. MKOA MAGHARIBI
4. PEMBA
TAREHE 23.10.2020
1. LINDI
2. NACHINGWEA
3. NEWALA
4. NANYUMBU
TAREHE 24.10.2020
1. TUNDURU
2. NYASA
3. SONGEA
TAREHE 25.10.20201
1. CHEMBA
2. SINGIDA
3. IKUNGI
TAREHE 26.10.2020
1. SAME
2. HANDENI
3. PANGANI
TAREHE 27.10.2020
DAR ES SALAAM STAND UP .
TAREHE 28.10. 2020
KURA YA NDIO KWA #TUNDU LISU MAPEMA SANA.
Share kila mtu aipate ratiba hii
Alphonce Shadrack Paul
Lissu ana mapafu ya Farasi dume.RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA TOWN
TAREHE 22.10.2020
1. WETE
2. CHAKECHAKE
3. MKOA MAGHARIBI
4. PEMBA
TAREHE 23.10.2020
1. LINDI
2. NACHINGWEA
3. NEWALA
4. NANYUMBU
TAREHE 24.10.2020
1. TUNDURU
2. NYASA
3. SONGEA
TAREHE 25.10.20201
1. CHEMBA
2. SINGIDA
3. IKUNGI
TAREHE 26.10.2020
1. SAME
2. HANDENI
3. PANGANI
TAREHE 27.10.2020
DAR ES SALAAM STAND UP .
TAREHE 28.10. 2020
KURA YA NDIO KWA #TUNDU LISU MAPEMA SANA.
Share kila mtu aipate ratiba hii
Alphonce Shadrack Paul
Kwa nini Hakuhutubia Shinyanga mjini?
Jamani Mtwara mbona katusahau?