Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,839
- 32,628
Lini alikuambia?Anasema NRNE haina shida na ratiba ya uchaguzi.....siyo lengo letu kabisa

.."well said...."Unafikiri mtafanikiwa kuwabadilisha watu mitazamo yao! Mabadiliko yatapiganiwa mpaka pale mtakapo nyoosha yenu mikono juu. Kamwe dhuluma haiwezi kuishinda haki.
Kuwa sisiem sio lazima uwe mjinga bhana!View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Vipi, ulitaka nipiganie kwa kutumia hayo makalioh yako? Acha ufalah.Unapigania mabadiliko kwa kutumia italics fonts kwenye JF??
Yaani ningewadharau sana cdm kama wangekubali kushiriki uchaguzi huu kwa sheria hizi za kihuni. Wamechukua uamuzi wa maana kupita maelezo. Vyama vilivyo tayari kuburuzwa na ccm ndio vipeni hivyo viti, cdm wao wanaweza kupata kura kihalali bila hisani ya majizi ya ccm.View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Mfano ungeweza kupendekeza wangetumia njia gani kumdhoofisha labda tukijaribu kukuvalisha viatu vyao??
Wanaharakati wamewaingiza mkenge viongozi na wanachama wa chadema.View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Hujui kitu, Shut Up!View attachment 3421613

Inasikitisha sana
Kwani kuna uchaguziii??Uchaguzi ulifanyika siku nyingi,na leo kamatti ya maadili inawachagulia wabunge na madiwani,,Wewe kama unajihesabu ni mpiga kura unajidanganya,bora hiyo siku uifaye kuwa sikuvya mapumziko Utanishukuru badae.Mimi binafsi nimekuwa nikitoa ushauri mara nyingi sana humu mtandaoni kwa hao Wahusika wa Vyama vya Upinzani, hususani CHADEMA. Wakati mwingine Nimekuwa nikitoa na mifano hai na halisia kabisa, kwa sasa sionif sababu hata moja ya kurudia kuelezea kuhusu jambo hili.
Ila hayo mnayotaka sio leo na sio nyieUnafikiri mtafanikiwa kuwabadilisha watu mitazamo yao! Mabadiliko yatapiganiwa mpaka pale mtakapo nyoosha yenu mikono juu. Kamwe dhuluma haiwezi kuishinda haki.
..uchaguzi ukifanyika katika mazingira haya utaonekana feki.
..Na watakaochaguliwa kutokana na uchaguzi huo watakosa uhalali mbele ya wananchi.
..hatua zilizochukuliwa na serikali bado sio jibu kwa hoja zilizowekwa mezani na Chadema.
😅Kwani jamaa walisema watazuia ratiba?
Tueleze basi hilo Bunge kwa nini lilipangwa kuvunjwa tarehe 03/08/2025?Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026
hata waliochaguliwa 2020 pia tulisema wamekosa uhalali, Je kipi kilitokea?