GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
8,964
Reaction score
13,465
20250728_143828.jpg

Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
 
View attachment 3421613

Chadema hapo tu mi ndio niliwashangaa kwa Tanzania hii hakuna wa kupinga uchaguzi labda Ccm wenyewe

Mojawapo ya Kanuni za Msingi kabisa katika Sayansi ya Vita inasema kwamba, ili kumlazimisha Adui yako au hasimu wako aweze kuja katika meza ya mazungumzo ya mapatano ya kumaliza vita, basi ni lazima umfanye adui yako huyo naye adhoofike na kupoteza katika uwanja wa mapambano.

CHADEMA waneshindwa kusoma alama za nyakati na kuweza kuitumia Kanuni hii.
 
Huna akili njaa zinakusumbua mboga mnaturudisha nyuma
 
..uchaguzi ukifanyika katika mazingira haya utaonekana feki.

..Na watakaochaguliwa kutokana na uchaguzi huo watakosa uhalali mbele ya wananchi.

..hatua zilizochukuliwa na serikali bado sio jibu kwa hoja zilizowekwa mezani na Chadema.
 
Mojawapo ya Kanuni za Msingi kabisa katika Sayansi ya Vita inasema kwamba, ili kumlazimisha Adui yako au hasimu wako aweze kuja katika meza ya mazungumzo ya mapatano ya kumaliza vita, basi ni lazima umfanye adui yako huyo naye adhoofike na kupoteza katika uwanja wa mapambano.

CHADEMA waneshindwa kusoma alama za nyakati na kuweza kuitumia Kanuni hii.
Mfano ungeweza kupendekeza wangetumia njia gani kumdhoofisha labda tukijaribu kukuvalisha viatu vyao??
 
Mimi binafsi nimekuwa nikitoa ushauri mara nyingi sana humu mtandaoni kwa hao Wahusika wa Vyama vya Upinzani, hususani CHADEMA. Wakati mwingine Nimekuwa nikitoa na mifano hai na halisia kabisa, kwa sasa sioni sababu hata moja ya kurudia kuelezea kuhusu jambo hili.
 
Back
Top Bottom