Ratiba kamili ya Uchaguzi na Operesheni M4C ndani ya CHADEMA

peoooooooooooplez!ratiba imekaa vizuri,ila taarifa,jimbo la LUSINDE na MWIGULU NCHEMBA yafanyiwe kazi kwa kina,ni waropokaji na wanaukoo na shetani kwa MATUSI TU,Tuone sasa waende waitishe mikutano wajibu hoja majimboni mwao kwa matusi,mbele ya wazazi wao na ndugu zao nao wawajue ujinga wao,pliz KAMANDA MBOWE fanyia kazi ombi langu!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Nimeikubali ratiba hii ni nzuri kwani imetengenezwa based on Monitoring and evaluation system.Hii itawasaidia kufanya uchaguzi ulio katika udhibiti penye mapungufu watarekebisha kandainayofuata.
Pendekezo
Kwa kuwa CDM moja ya sera yenu ni serikali za majimbo, muda muafaka sasa kufanya majaribio ya seriakli hiyo kwa kugawa utawala wa kichama kimajimbo kama mlivyopanga utaratibu wa uchaguzi.Chama lazima sasa kianze kwa kuthubutu yawezekana hii test ikatoa matokeo mazuri ya namna ya kuendesha shughuli za chama kikanda
 
Heshima sana mkuu.Kamati kuu iliamua hivyo kwa maslahi ya chama kwa sababu viongozi wa makao makuu watakaokuwa kwenye operesheni watasimamia zoezi zima la uchaguzi na kila kitu kitashuhudiwa on the sport.
Ni kweli kabisa.. Uzoefu wangu kwenye uchaguzi wa 2009 unaonyesha chaguzi zinapofanyika siku moja kunakuwa na tatizo kubwa sana... Nilishiriki kikamilifu sana uchaguzi ule kupitia Mkoa wa Iringa. Mh. msigwa, Chiku, na kilewela wanajua kuwa Msimamizi alipaswa kutoka Morogoro kama sikosei Marehemu Shelembi Magadula lakini alikwama njiani. Mawasilaino ilikuwa tatizo kubwa as watu wa makao makuu wote walikuwa Mikoani kwenye chaguzi. Naunga mkono wazo la kuendesha uchaguzi Kikanda huku ikiambatana na hizi Operesheni.Viva CDM
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri CHADEMA.

Of coz, hakuna perfect plan au system so huko mwendako muwe na weledi na utayari wa kujifunza na kujirekebisha ili mfikie malengo yote mazuri mlionayo.

Kwa njia hii pia, (indirectly) mmewapa maadui zenu (Mwigulu type) cha kufanyia kazi so msije mkalala hata kidogo.
 
asante mkuu ni ratiba nzuri na MUNGU AWE NANYI
COMMENT, HAPO KWENYE RED PAREKEBISHE KIDOGO MWAKA UWE 2012,. THANX IN ADVANCE
 
Very funny!!! watu wanatumia operation sangara kujipigia kampeni ndani ya chama!!! Hapo kama wewe sio insider usipoteze muda kugombea. Kweli demokrasia rahisi mdomoni, kuitekeleza ngumu!!!
 
Hii ni nzuri kwa sababu itazuia wenye fedha kupanga safu kwa maslahi yao.Hapa maslahi ya chama yamezingatiwa.Kipindi hiki cha transition kuelekea kuchukua Dola hatustahili kufanya makosa na ikiwezekana hata kanuni za dharura zitatumika.

Huo ndio ukweli wa mambo Ben Saanane.
Ccm walikuwa wamejipanga kupandikiza mamluki ndani ya uongozi ngazi za chini ili baadae iwatumie kukihujumu Chadema.
Lakini kwa utaratibu huu ni wazi kwamba imekula kwao pamoja na wale waliokuwa wanafikiria kutumia ushawishi wa fedha kuweka watu wao kwenye safu za uongozi.
 
CHADEMA hawana time na Zanzibar. Wazenj kama mmezichoka CUF na CCM fanyeni mpango wa kutafuta chama kingine lakini mkihesabia CHADEMA mnapoteza muda wenu bure.

ZeMarcopolo umeisoma ratiba lakini? Au umekurupuka kuandika kwakuwa tu unaichukia Chadema?
Kuanzia tarehe 01/04/2013 hadi 25/04/2013 unadhani ni Zanzibar ipi? Oman au mtaa wa lumumba!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom