Ratiba kamili ya Uchaguzi na Operesheni M4C ndani ya CHADEMA

Ratiba imetulia, all the best ma kamanda... saaa ya ukombozi hakika imefika..

ee bwana...bwana pia wakumbuke kuwa wamalawi wanataka kutunyang'anya ziwa nyasa..! serikali dhaifu imeshindwa kumaliza tatizo hili.
 
Kutokana na ratiba ya operesheni sangara ambayo inaenda sambamba na uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya msingi, matawi mpaka kata kukaba kila eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kuanza kuhaha ili kukiokoa chama chao. Upo uwezekano mkubwa kabisa wa operesheni hii kukwamishwa kutokana na ukweli kwamba inakwenda kusimika chama katika ngazi ya chini kabisa na kufanya chaguzi za kidemokrasia kuwapata viongozi na kuasili falsafa ya chama "NGUVU NA MAMLAKA YA UMMA".

Woga huu unatokana na wasiwasi kwamba operesheni hii inaenda kuvuruga kabisa uchaguzi wa CCM kwa ngazi za chini za chama ambao umefanyika katika siku za karibuni.

Operesheni hii inaenda kutoa hamasa zaidi kwa wanachama kupitia njia za mikutano.
Ni njia muafaka ya kutengeneza mawakala imara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015. Operesheni hii inaenda kuandaa rasmi CDM kushika dola kwa kufikisha chama katika ngazi za vitongoji na vijiji vyote Tanzania na hatimaye kufikia target ya kuwa na matawi zaidi ya 17,000 kwa kila tawi kuwa na angalau wanachama 30 ni zaidi ya mabalozi 500,000 nchi nzima ambao wanakwenda kupiga kura, kuhesabu kura na kulinda kura.

RATIBA KAMILI YA UCHAGUZI NA OPERESHENI SANGARA II
.............................................................................................................................................


DATEENEO HUSIKASHUGHULI
104/08 2012Kanda ya katiUzinduzi wa operesheni
205/8-19/08/ 2012Dodoma,singida,iringa manyara na morogoroOperesherni uchaguzi ngazi ya kata.
319/09-30/09/2012Makao makuuMaandalizi
Tathimini ya operesheni
401/10-20/2012Baadhi ya maeneo ya Lindi, Dsm,Pwani, Bagamoyo na TangaOPERESHENI
Uchaguzi ngazi ya matawi na kata
521/10/30/10/2012Makao makuuTathimini
Maandalizi
601/11-20/11/2012Kilimanjaro na ArushaOperesheni
Uchaguzi ngazi ya matawi
721/11-30/11/2012Makao makuuTathimini
maandalizi
801/12-20/12/2012Shinyanga,Tabora na SimiyuOperesheni na uchaguzi ngazi ya matawi na kata
901/01-25/01/2013Mwanza,Geita, Mara na kagera
1026/01-30/2013Makao makuuTathimini
1101/02-20/02.2013Kigoma, katavi Rukwa
Operesheni na uchaguzi ndani ya chama
1221/02-30/02/2013Makao makuuTathimini ya operesheni
1301/03-25/03/2013 Mbeya, njombe na Ruvuma
Operesheni uchaguzi
1426/03-30/03/2013Makao makuutathimini
1501/04-25/04/2013ZanzibarOperesheni na uchaguzi
1626/04-30/04/2013Makao makuutathimini
.................................................................................................................................
 
Safi sana, Dr Slaa kubaki ofisini kimesaidia sana chama ana mipango mizuri sana
 
Tuna Furaha CDM wanatekeleza Ratiba yao kama walivyopanga.They walk the talk!
 
Back
Top Bottom