Kumekucha: Chadema yaagiza Matawi yake yote Nchini Kufanya mikutano mikuu Kati ya 27/12/2023 - 03/01/2024 kujadili Miswada ya Uchaguzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,002
142,028
Chadema imeyaagiza Matawi yake yote Nchini Kufanya mikutano mikuu Kati ya tarehe 27/12/2023 hadi 03/01/2024

Mnyika amesema ajenda ya mikutano hiyo Kujadili Miswada ya Sheria za Uchaguzi itakayopelekwa bungeni hivi karibuni

Kisha mihutasari yote ya mikutano hiyo ipitishwe kwenye taratibu zote za kichama hatimaye zifike makao makuu kwa maamuzi Rasmi, ameagiza KM mh Mnyika

I wish you a Merry Christmas 😀
 
good bila tume huru ya uchaguzi hakuna uchaguzi
 
Chadema imeyaagiza Matawi yake yote Nchini Kufanya mikutano mikuu Kati ya tarehe 27/12/2023 hadi 03/01/2024

Mnyika amesema ajenda ya mikutano hiyo Kujadili Miswada ya Sheria za Uchaguzi itakayopelekwa bungeni hivi karibuni

Kisha mihutasari yote ya mikutano hiyo ipitishwe kwenye taratibu zote za kichama hatimaye zifike makao makuu kwa maamuzi Rasmi, ameagiza KM mh Mnyika

I wish you a Merry Christmas 😀
At least this...
Actually Tz needs visionary and vibrant opposition
 
Sasa ile operesheni +255 ilikuwa ni ya kuchangishana tu au? haijalishi

Lakini angalau kwa sasa maagizo ya Mnyika, yanasikika kuwa siriasi kidogo. CHADEMA wamo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom