Ratiba kamili ya Uchaguzi na Operesheni M4C ndani ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ratiba kamili ya Uchaguzi na Operesheni M4C ndani ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Aug 2, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi ndani ya Chama na Operesheni Sangara
  Ratiba mpya ya operesheni Sangara baada ya maagizo ya Kamati Kuu iliyokaa tarehe 9 July 2012 ya kusimamisha uchaguzi ndani ya Chama. Kamati Kuu iliamua uchaguzi uwe ukifanyika katika Operesheni Sangara.
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD]DATE
  [/TD]
  [TD]ENEO HUSIKA
  [/TD]
  [TD]SHUGHULI
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]1
  [/TD]
  [TD]04/08 2012
  [/TD]
  [TD]Kanda ya kati
  [/TD]
  [TD]Uzinduzi wa operesheni
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2
  [/TD]
  [TD]05/8-19/08/ 2012
  [/TD]
  [TD]Dodoma,singida,iringa manyara na morogoro
  [/TD]
  [TD]Operesherni uchaguzi ngazi ya kata.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]3
  [/TD]
  [TD]19/09-30/09/2012
  [/TD]
  [TD]Makao makuu
  [/TD]
  [TD]Maandalizi
  Tathimini ya operesheni
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]4
  [/TD]
  [TD]01/10-20/2012
  [/TD]
  [TD]Baadhi ya maeneo ya Lindi, Dsm,Pwani, Bagamoyo na Tanga
  [/TD]
  [TD]OPERESHENI
  Uchaguzi ngazi ya matawi na kata
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]5
  [/TD]
  [TD]21/10/30/10/2012
  [/TD]
  [TD]Makao makuu
  [/TD]
  [TD]Tathimini
  Maandalizi
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]6
  [/TD]
  [TD]01/11-20/11/2012
  [/TD]
  [TD]Kilimanjaro na Arusha
  [/TD]
  [TD]Operesheni
  Uchaguzi ngazi ya matawi
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]7
  [/TD]
  [TD]21/11-30/11/2012
  [/TD]
  [TD]Makao makuu
  [/TD]
  [TD]Tathimini
  maandalizi
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]8
  [/TD]
  [TD]01/12-20/12/2012
  [/TD]
  [TD]Shinyanga,Tabora na Simiyu
  [/TD]
  [TD]Operesheni na uchaguzi ngazi ya matawi na kata
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]9
  [/TD]
  [TD]01/01-25/01/2013
  [/TD]
  [TD]Mwanza,Geita, Mara na kagera
  [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]10
  [/TD]
  [TD]26/01-30/2013
  [/TD]
  [TD]Makao makuu
  [/TD]
  [TD]Tathimini
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]11
  [/TD]
  [TD]01/02-20/02.2013
  [/TD]
  [TD]Kigoma, katavi Rukwa
  [/TD]
  [TD]Operesheni na uchaguzi ndani ya chama
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]12
  [/TD]
  [TD]21/02-30/02/2013
  [/TD]
  [TD]Makao makuu
  [/TD]
  [TD]Tathimini ya operesheni
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]13
  [/TD]
  [TD]01/03-25/03/2013
  [/TD]
  [TD]Mbeya, njombe na Ruvuma
  [/TD]
  [TD]Operesheni uchaguzi
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]14
  [/TD]
  [TD]26/03-30/03/2013
  [/TD]
  [TD]Makao makuu
  [/TD]
  [TD]tathimini
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]15
  [/TD]
  [TD]01/04-25/04/2013
  [/TD]
  [TD]Zanzibar
  [/TD]
  [TD]Operesheni na uchaguzi
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]16
  [/TD]
  [TD]26/04-30/04/2013
  [/TD]
  [TD]Makao makuu
  [/TD]
  [TD]tathimini
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Peeeeeeeeooplez!

  Mbowe kanyaga twende
   
 3. D

  DOMA JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Imekaa kisomi zaidi
   
 4. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  sasa watu wengne si watapiga kura mara mbili?
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Twende kazi
   
 6. m

  mwakijule Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila la kheri makamanda,ukomboz unakuja!!
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kulikuwa na tatizo gani kufanya chaguzi zote siku moja?
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Well,ni njia tofauti ya kufanya mambo kitofauti.
  Kwanini usi furahie ubunifu huu?
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Heshima sana mkuu.Kamati kuu iliamua hivyo kwa maslahi ya chama kwa sababu viongozi wa makao makuu watakaokuwa kwenye operesheni watasimamia zoezi zima la uchaguzi na kila kitu kitashuhudiwa on the sport.
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mpango ni mzuri ila jaribuni kufanya uchaguzi ndani ya miezi miwili tu
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  thanks kwa nini wasingegawanywa maeneo tofauti tofauti - kama walivyo fanya tume ya katiba ??
   
 13. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa, tunaogopa insanity
   
 14. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wakipiga mara mbili watakuwa ni mamliki wa CCM. Lakini mwana wa M4C hawezi kufanya hivyo. Labda nikkulize swali, ukiwa na wake wanne na wanakaa mitaa tofauti, nawe unatambulika katika mitaa hiyo ungefanyaje.
   
 15. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Uweze kujifunza kutoka kanda moja na kurekebisha kanda nyingine...
   
 16. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kila la Kheri na Mungu awe nanyi na kuwaepushia mipango ya maadui ambao sasa nao watajipanga kwa ajili ya kutaka kuwaingiza matatizoni. Hivyo wale wote watakaokuwa kwenye operesheni hii wawe makini sana, kwani CCM na Serikali watatafuta sababu hasa za kiusalama ili mikutano isiendelee.Hivyo muweni makini sana wakati wote wa operesheni, na zaidi mjue mko kwa maslahi ya watanzania wote, na hakika sote tunawaombea maana saa ya ukombozi imekaribia.
  TELO.
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Umetoa pia wazo zuri sana mkuu.Baada ya kanda ya Kati kutakuwa na tathmini kama ratiba inavyoonyesha naamini viongozi wakuu wanaweza kuchukua ushauri wako baada ya kuona tathmini ya mwanzo imefanikiwa au la...Pamoja sana mkuu.
   
 18. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ratiba imetulia, all the best ma kamanda... saaa ya ukombozi hakika imefika..
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  M4C milele...
   
 20. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Tuanhitaji kujiimalisha kwa kuhamasisha maana misimamo na roho za watu wetu ni Tofauti sana tujuauvyo. Ukiwepo wapo kama haupo hawapo ila ukiwakumbushia sana wanaelewa na kuzingatia . Na vizuri kujiimarisha sana ili tuache uchaguzi wa kubahatisha
   
Loading...