We nyau ukishiba ugali wa shemeji Yako ndo huwa unaongea mashudu Hivi? Yaani kama unatafutia watu ban sawa lakini unajua mangapi tunapitia we mbwa wewe? Watu tumehangaika mpaka udalali unaongea vinini we dogo? Nimekustahi tu next time nakutukana.
Ipitishwe sheria mtu aliyeajiriwa na serikali haijalishi raisi au waziri afanye kazi miaka 5 tu kwasababu amepata mtaji aende akajiajiri.Kama serikali inatakiwa ipitishe sheria Kwa wana chuo haiwezekani miaka 10 tangu umalize chuo haujajiajiri yaani hauna manufaa yeyote kwa serikali yako husika hasa hapa tanzania
Kuinufaisha serikali yako ni lazima pindi unapomaliza chuo tena isipite au isikaribie miaka 5-10 uwe teari umeshaliingizia taifa faida
Haijalishi umesomeshwa na serikali au na wazazi wako yaani ni umejulikana ni muhitimu wa chuo tena upo tanzania na ni MTANZANIA hiyo sheria lazima ifanye kazi kwako
Ulipata boom au haukupata hii kama serikari /sheria haihusiani na hilo- mnatia haibu sanaa mpo wengi sanaa mitaaani yaani mpo kama wafu tu hamna faida Kwa wazazi wenu wala kwa serikali yenu mpo mpo tu
Watoto wakike mnazalishwa ovyo wakiume mnazurula tu kutwa nzima hii ifike mwisho hatuwezi mkawa sehemu ya taifa na ujinga wenu wakati mmepitia mafunzo mavyuoni huko na mpo na elimu pia
Hili litapitishwa kama sheria hatuwezi kuwavumilia kamwe- acheni ujinga mjiajiri na sio kuajiriwa tena kama mlivyofikiria
Yaani kuajiriwa na serikali hilo halipo tena ni ninyi mjiajiri wenyewe
Nyambaaaafuuu
Ningekuona wa maana ,kama ungesema waweke utaratibu wa mtu kufanya kazi Miaka 10,then unapisha wenzio.Kama serikali inatakiwa ipitishe sheria Kwa wana chuo haiwezekani miaka 10 tangu umalize chuo haujajiajiri yaani hauna manufaa yeyote kwa serikali yako husika hasa hapa tanzania
Kuinufaisha serikali yako ni lazima pindi unapomaliza chuo tena isipite au isikaribie miaka 5-10 uwe teari umeshaliingizia taifa faida
Haijalishi umesomeshwa na serikali au na wazazi wako yaani ni umejulikana ni muhitimu wa chuo tena upo tanzania na ni MTANZANIA hiyo sheria lazima ifanye kazi kwako
Ulipata boom au haukupata hii kama serikari /sheria haihusiani na hilo- mnatia haibu sanaa mpo wengi sanaa mitaaani yaani mpo kama wafu tu hamna faida Kwa wazazi wenu wala kwa serikali yenu mpo mpo tu
Watoto wakike mnazalishwa ovyo wakiume mnazurula tu kutwa nzima hii ifike mwisho hatuwezi mkawa sehemu ya taifa na ujinga wenu wakati mmepitia mafunzo mavyuoni huko na mpo na elimu pia
Hili litapitishwa kama sheria hatuwezi kuwavumilia kamwe- acheni ujinga mjiajiri na sio kuajiriwa tena kama mlivyofikiria
Yaani kuajiriwa na serikali hilo halipo tena ni ninyi mjiajiri wenyewe
Nyambaaaafuuu
kwen hayo mahindi nachomea sebuleni kwenu au mtaani?Endeleeni kuamkia ofice za kubet tu , ukweli ni kwamba tumewachoka mitaani
Chomeni hata maindi
iyo ya kukusanya mazao vijijini ushawahi kuifanya?Aliyesomea ugavi, anaweza kujiajiri, kukusanya mazao vijijini na kuuza, au kufanya biashara ya kubadilishana vitu na mazao, Aliye somea math, anaweza kuanzisha twisheni wazazi wengi wanapenda watoto wao wasome na wajue hesabu.
We nyau ukishiba ugali wa shemeji Yako ndo huwa unaongea mashudu Hivi? Yaani kama unatafutia watu ban sawa lakini unajua mangapi tunapitia we mbwa wewe? Watu tumehangaika mpaka udalali unaongea vinini we dogo? Nimekustahi tu next time nakutukana.
Aisee kumbe nchini kwetu Kuna vijana wa hovyo kiasi hicho duuh tunasafari ndefu sana. Duhh sidhani kama Kuna kijana mwenye mawazo mgando kukuzidi wewe ndio T.o wao aisee
Sasa tunapangiana maisha umenilipia wewe ada wewe kikumacho Nini Mimi nikiwa sina kazi hata miaka 20Miaka 10 baada ya kuhitimu huna manufaa yoyote unataka uchekewe?
Haya we nioji tu,iyo ya kukusanya mazao vijijini ushawahi kuifanya?