RATE THIS WEB- BLOG in development

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu nawatu wa tenolojia

Hii site http://teknohama.x10.mx/ imekaaaje ? ina tatizo gani ?nirekebishe kitu gani

Dhumuni niku tengenza blog yenye ladha ya kiwebsite. yaani nusu blog nusu web.teh teh teh.

so nilichukua template theme ya wordpreess + photoshop + google/Youtube ndo ninakuja na kitu hicho.=Kuchakachua

nimegundua kuwa kuna

  • tofauti kati ya web developing na web desining. Designing is the hardest part
  • Photoshop ni nyenzo nzuri sana katika kudesign web ionekane tofauti

Mnasemaje wadau
 
Kwa kuanzia imechukua muda mrefu sana kuload. Sijui ni kwa nini!
Alafu ile picha pale pembeni ambayo na dhani ndio logo mbona ukufuta vizuri kwa photoshop ile backgound? maana sehemu iliyo nkwenye background ya gray imechongwa vibaya!
Nitarudi baadaye niiangalie zaidi maana nakimbia mahali nina kazi mbali na keyboard, CPU na monitor.
 
Mh nadhan kuna tatizo, natumia simu hapa ila haifunguki hii link mkuu
 
Isafishe hiyo logo isiwe na huo weupe kwenye transparency. Inaload slow kwasababu ya host wa bure nadhani.
NetTuts+??
 
[/QUOT

Yah hiyo logo ina tatizo naona hata rangi yake haendani na web. Nitaifanyia kazi Nadhani inachukua muda kuload sababu ya ma Image kibao. unaweza kunimbia imechukua kama sekunde ngapi?

not bad for beggining
thanks
Kweli not bad kwa kujifunza nadhani ikifika june mwaka huu nitakuwa nina sifa za kujiita ka web developer class B teh teh

Mh nadhan kuna tatizo, natumia simu hapa ila haifunguki hii link mkuu
Duh pole sana aksante kwa feeback kumbe bado sitakiwi kujisifu. Je umejaribu kuview without CSS. Shukrani kwa feedback

Isafishe hiyo logo isiwe na huo weupe kwenye transparency. Inaload slow kwasababu ya host wa bure nadhani.
NetTuts+??
Wewe unanipa matumaini mi nilidhanini sababu ya image kumbe hili sio tatizo kubwa.
Anyway ikimalika na kuridhika kabisa na nikiona kuna umuhimu wa kuiendeleza nitatafuta za kulipia hawa hsting wanaitwa Free Hosting, Paid Hosting, Reseller Hosting, VPS and Dedicated Servers
 
Kwangu imefunguka kilaini tu, ila

1] sijavutiwa na title, ikiwezekana ifanye iwe more inviting
2] amua either kuifanya iwe monolingual au bi-lingual (hizi code-mixing and switching zinakwaza kidogo, ingawa sina shida nayo sana)
3] rangi ya background, mmh?
4] kwanini 'Ujumbe wa Wiki' uwekwe chini kabisa mwa page?
5] mwisho lile tatizo lako la ku-type haraka sana na bila kupitia (editing) bado lipo, unapoandika fanya kuhariri ile upatikane ule usahihi ya maneno ionekane profeshno zaidi siyo kazi ilifanyika hovyohovyo hivi

ni hayo tu kwa sasa, keep it up!
 
Kwangu imefunguka kilaini tu, ila
.............

  • sijavutiwa na title, ikiwezekana ifanye iwe more inviting- mkuu ebu nipe mawazo mfano tiitle ganiyaweza kufaa . Sababu hapa nataka niwe naongelea TEKNOHAMA tu Nitaweza kuongelea ELIMU, BISHARA , AFYA, ect lakini from ICT point of view.No politics

  • Amua either kuifanya iwe monolingual au bi-lingual- Hili umesha nishauri hadi kule kwenye project nyingine .Nitaomba unipe mawazo zaidi maana sometime haya mambo ya ICT unakwama na unataka ueleweke kwa watu wa aina zote. I will prefer swahili nadhani unaona ndio inatawala.

  • rangi ya background, mmh? hii rangi ya background infact ni image kwenye photoshop wanaita noise .Nimejaribu rangi nyingi na kusoma ushauri online wanasema black background inaweka attention ya viewer kwenye page husika. Ukiwekwa rangi nyingine zinafanya distortion. na hapa ndo nimeona part ya design kwenye webpage . unaweza kuweka rangi nzuri butinaweza kundoa focus ya mtumiaji.
Si mtaalam sana wa photoshop na sijafanya uchunguzi vya kutosha online but nitasukuru ukinitajia rangi au color code ambayo naweza jaribu.
  • kwanini 'Ujumbe wa Wiki' uwekwe chini kabisa mwa page? Huu ujumbe ni kama summary ya page au article husika .k ummary nadhani inafaa kukaa mwishoni mwishoni . Wewe ungeshauri ikae wapi?

  • mwisho lile tatizo lako la ku-type haraka sana na bila kupitia- hahha ahahah dah Hili ni tatizo langu sugu sana yaani huwa sijui inakuwaje sometime napitia kitu hata mara mbili naon kiko ok nikishapost ndo naanza uona tena makosa. nitajitadhi kuongeza proof reading kabla ya kupost
Thanks very much najua through construstive criticism kama hizi nitakuwa mtaalam
 
Imagine unafungua Wikipedia, moja kwa moja unakuwa na idea ya utakachokutana nacho hata kabla haijafunguka vizuri; 'Wikipedia, the free encyclopedia'. Hicho ndo ninachomaanisha. Pale kwako unakutana na TEKNOHAMA TANZANIA. Too broad, vague, sijui unanielewa? Mpe huyu anayetembelea hii web 'preview' ya nini atakutana nacho. Sipendi kutoa majibu ya moja kwa moja, utanisamehe.

Kuhusu background ngoja na mimi nifanye research kidogo

'Ujumbe wa Wiki' ina-denote kitu kikubwa zaidi ya unavyofikiri. It is something for the readers to ponder thruout the week, a big idea. Ningefikiria kuweka on top of the page (or rather near top or on the margins)

[By the way I am just a sec school teacher with very crude (in its sense) computer knowledge!]
 
logo! ina kama vivuli.. ifanye iwe sharp kimtindo.. alafu ikijaa page nzima (width) itakuwa safi.. zaidi
 
Imagine unafungua Wikipedia, moja kwa moja unakuwa na idea ya utakachokutana nacho hata kabla haijafunguka vizuri; 'Wikipedia, the free encyclopedia'. Hicho ndo ninachomaanisha. Pale kwako unakutana na TEKNOHAMA TANZANIA. Too broad, vague, sijui unanielewa? Mpe huyu anayetembelea hii web 'preview' ya nini atakutana nacho. Sipendi kutoa majibu ya moja kwa moja, utanisamehe.

Kuhusu background ngoja na mimi nifanye research kidogo

'Ujumbe wa Wiki' ina-denote kitu kikubwa zaidi ya unavyofikiri. It is something for the readers to ponder thruout the week, a big idea. Ningefikiria kuweka on top of the page (or rather near top or on the margins)

[By the way I am just a sec school teacher with very crude (in its sense) computer knowledge!]

Ok nimekupata mkuuu na ninakuelewa ni vizuri .K uwa na watu wanaotazama vitu katika diferent angles kunasaidia sana na Ndio maana nimeleta hapa. I will think about hiyo ujumbe wa wiki Llakini kwa kuwanza nitakuwa si publish kila siku . But nitajaribu kubadilisha wording
 
maoni zaidi bandugu. ingawa bado kazi inaendelea.
nafanyia kazi maoni ya image ya logo. natafuta image nyingine nzuri zaidi.

Naka ribisha mtu pia anipe wazo la tittle ya kablogweb kenyewe. kana lenga tekenology tu. so na tittle iendane na teknology na iwe fupi. swahil is beter lakini naweza kuikiria hata english.
 
Kwa kuanzia sio mbaya, nadhani marekebisho yanahitajika sana hasa kwenye upande wa menu. Ziwe organized
 
Back
Top Bottom