HIBLOGSTER (New open source blogging platform). Bloggers& Developers msikose kupitia hapa

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
1,072
2,306
Hello World

Nipo katika hatua za mwisho za kukamilisha project yangu ya Blogging Platform ambayo itakuwa open source. Na haitakuwa kwa ajili ya blogs tu, bali inaweza kuwa Personal website, Portifolio etc.

Lengo la huu uzi ni kupata feedbacks kutoka kwa Bloggers, kuhusu features wanazotamani katika blogs zao, changamoto za Wordpress themes na plugins zake na nini kipya watakitaka kwenye hii Blogging platform mpya.

Lengo langu sio kureplace Wordpress, lengo ni kuleta option kwa bloggers wanaotaka kujaribu kitu kipya mbali za Wordpress.

Hii blogging platform nilioipa jina la HIBLOGSTER imejengwa juu ya Laravel 6.10.0

Personally sio mpenzi wa Wordpress kwa sababu hizi (Simaanishi Wordpress sio platform nzuri)

1. Constant updates
Wordpress huwa wana updates core software yao kila baada ya miezi kadhaa,often kwa ajiri ya security na kufix bugs, hii ni muhimu kwa sababu most of Wordpress websites zinafanana from front to backend.

So hacker from Russia, akigundua bugs kwa website moja ya wordpress ana uwezo wa ku attack website yoyote ile.

Sasa hizi updates zinapokuja kuna uwezekano mkubwa wa kuifanya website yako isifanye kazi mpaka utakapomtafuta Wordpress developer tena.

Na hii ndio tatizo kwangu coz as programmer napenda kuwa na full control ya website yangu.

2. Plugins
Plugins za Wordpress huwa zinatengenezwa na some random developers na kwa kuwa websites za Wordpress huwa zinategemea sana hizi plugins kwa kuongeza ufanisi ndipo tatizo jingine linapokuja.

Kuna uwezekano mkubwa wa plugins mbili kutokufanya kazi kwa pamoja coz zimekuwa developed na watu wawili tofauti ambao hawakuwa na communication.

Na ikitokea plugin haifanya hakuna wa kumuuliza kwa sababu ni vigumu kujua author wa hio plugin.

3. Security
Wordpress ni open source platform, anyone ana uwezo wa kudesign plugins unazozitumia including hackers.

4. Theme
Personally, japokuwa themes za wordpress zina 'professional look', but ukweli nyingi sio responsive.

For those reasons ni recommended kuwa na website utakayokuwa na full control nayo, na hapa ndipo wazo wa HIBLOGSTER lilipokuja

Narudia tena lengo sio kui diss wordpress, ila lengo ni kuwa na Open source platform yetu as Tanzanian developers.

Nakaribisha maoni yenu bloggers.

Blogstertheme9.PNG



Blogstertheme7.PNG


Blogstertheme8.PNG


Hiblogster.PNG



Hello Tech members.

Thanks to God,Project imekamilika na ipo tayari kwa matumizi,Project in Open source
Nakupa License ya kutumia hii software katika biashara yako

Kama ulikua ukihitaji Blog,Personal Website au Portfolio,hii Application ina kila kitu unachihitaji

Unaweza kuche demo kwa kutembelea hii website ya w w w . m o n k h o u s e . co . t z (usiache nafasi)

Kama ukihitaji hii software,nicheki 0623391590

Pia kama unahitaji Web developer kwa ajiri ya idea yako biashara niheki pia
 

Attachments

  • BlogsterTheme4.PNG
    BlogsterTheme4.PNG
    135.2 KB · Views: 2
  • HiBlogstertheme.pdf
    1.6 MB · Views: 3
Mwanzo mzuri, japo itachukua muda kufika level za kina Wpress ila ukisimamia jambo na kuwekeza nguvu, muda na pesa utafika. Ungetupatia link kama iko online tuicheki.
 
Mwanzo mzuri, japo itachukua muda kufika level za kina Wpress ila ukisimamia jambo na kuwekeza nguvu, muda na pesa utafika. Ungetupatia link kama iko online tuicheki.
Still ipo katika developement

Lengo sio kuifikia Wordpress lengo ni kuwa na open source blogging platform ambayo mtu yoyote anaweza kuitumia for free kwa ajiri ya biashara yake bila haja ya kumtafuta web developer
 
FEATURES ZILIZOPO
  1. Clean Admin panel
  2. Private Message system
  3. Multiple images
  4. Best Rich text editor
  5. Thumbnail
  6. Ads ready
Hii software inatumia Intervention Image Library kwa ajiri ya manipulation na Optimization of images
Kama umei visit hio demo hapo juu utaona quality ya Picha zilizopo

Nitaelezea zaidi kuhusu hii Software hapo kesho,Just remeber ni Free Software

Mtu yoyote anaweza kuitumia..............

Contact:0623391590

Kama una swali,ushauri au jambo lolote kuhusu Hiblogster.....lilete hapa
 
Back
Top Bottom