Mapungufu na mazuri ya bloggers na web zetu tanzania

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
........ know that the looks of the website.blog is a major thing but it is not everything...

Kuna watu, ashirika au blog wanatumia nguvu nyingi sana kutegeza website nzuri lakini wanasahau factors nyingine.
Vile vile kuna watu tovuti au blg zao haivutii kimuonekano lakini zina contents amabazo zinavutia na za kipekee

Specfic Observation

I. U Turn Blog
Nadhani ni blog inayopeedwa sana na kundi fulani la watu hasa wa kike. nadhani katia blog zenye trafic kubwa ndani ya Tanzania hii u-turn imo.
Lakini ukiangalia design na mpangilio na muonekano wa contents zake hazijakaa vizuri. Kikubwa kinchofanya ifanikwe ndahani ni mambo mengi anayoonadika weather sio copy and paste. na walengwa wake ndiyo wanayoyapenda.

II. Zimefichuka
Hiki ni kiblog nimekitengeza juzi . naamini wengi mtakubaliana nami muoneano wake ni mzuri.Lakini pia kuna tatizo. Kwenye hii blog ninachofanya ni copy and paste wikileaks za bongo. Kwa hiyo wakati nimepata design nzuri ya blog , content si zangu na watu wanaweza kupata kwenye original source. so ni kama natoa nakala ya habari iliyotolewa tayari..........

Utumie theme template gani kwenye blog au Tovuti?
Kwa kuwa muonekano tovuti ni kitu cha muhimu laini sio kila kitu basi blger au developer yeyote anatkiwa kujiuliza na kujijibu maswali kdhaa abla hajachagua template. Kwa kuwa siku hizi msingi wa tovuti upo tayari basi kazi za developer inakuwa rahisi. Msingi huu ni kutumia CMS kama Joomla, Wordpress, Drupal, blogger, etc Kazi kubwa sasa kwa designer na bloggers ni nyumba gani ujenge juu ya msingi uliochagua Hapo sasa ndio inauja issue ya Templates au theme

Sifa za Template/ Theme unayochagua inatakiwa
• iendane na dhumuni na mudhui makuu la tovuti au blog yako. tempalte ya shrika kama NSSF, PPF, IPP haitakiwi kuwa sawa na template inayotumiwa na Tovuti kama TBC, ITV, StarTV hivyo hivyo inatakiwa kuwa Tofauti na Blog iayolenga mamb ya Sanaa.
TBC ( Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)) wanatumia CMS ya joomla lakini sidhani kama developer wao alishop arround kutafuta template inayoendana na maudhui yao TBC . Matoeko yake Tovuti ya TBC haina tofauti na Tovuti za magazeti. Kuna template za bure na za kununua amabzo zinaendana na maudhui ya TBC. amabzo wangezitumia basi TBC ingekuwa na safi

NSSF ( http://www.nssf.or.tz/ ) nao wanatumia Joomla wameonyesha umakini wa kutumi template ya Rt_kinetic amabayo unaweza iona hapa http://www.rockettheme.com/joomla-templates/kinetic

Wapi pa kupata template na theme?
Kuna tempalte au theme ziko free na k una nyingine zinahitaji malipo. But kama wewe ni mjasirimali mdg unaweza kupata hata ile za kulipia kwa njia za kichina teh teh teh
Unahsauri nini ?
Nashauri bloger na web developer na wabalansi uzito wa muonekano wa blog na Presenatation. Kwa blogger nawashauri wajitahidi walau 50% ya content ziwe wao ndio original source. yaani waepuke copy and paste

Vile Vile Blogger wengi ( wanaotumia domain ya blooger.com) bado wanatumia ile style ya kusrooll down wakati kuna theme na template nyingi sasa hivi blog inaweza kuonekanakama tovuti kamili.......

Sijui wewe msomaji una maoni gani ya kitaalam....

Makala hii imechakachuliwa kutoka How To Choose Professional Web Site Templates | The Template Blog nikachanganya na za kwangu .

Nawasilisha kwa kuponda na kupenda blogu na tovuti mbali mbali kitaalam teh teh teh teh

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
Kaka jarıbu kucheck hıı ya kwangu then munıkosoe,bt kwenye blog zetu kwa hapa Tz huwezi kukwepa ılı suala la copy and paste

check hıı

www.gshayo.blogspot.com

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
Kaka jarıbu kucheck hıı ya kwangu then munıkosoe,bt kwenye blog zetu kwa hapa Tz huwezi kukwepa ılı suala la copy and paste

check hıı

GSHAYO

Hongera sana mkuu kweli copy and paste haiwezi kukwepek a hasa kama mtu ana kazi nyingine za kufanya . Lakini nadhani ni vizuru mtu uwe na sera kuwa katika kila post 5 basi tatu ziwe za kwako.

Kitu kingine hata kama ni ku kocpy na kupaste unaweza kusoma article mbili au tatu mtandaoni ukazi chanaganya Ideas zake ukaja na artice bila kutumia muda mrefu.

Mfano uki google paragraph hii ambayo iko kwenye ukursa wako kuhusu I have a dream iuna kutana ina refer kwenye tovuti nyingi na sijaona blog yako.
I am happy to join with you today in what will go down in history as the greatest demonstration for freedom in the history of our nation.
Five score years ago, a great American, in whose symbolic shadow we stand today, signed the Emancipation Proclamation. This momentous
decree came as a great beacon light of hope to millions of Negro slaves who had been seared in the flames of withering injustice. It came as a
joyous daybreak to end the long night of their captivity.

Basi ingekuwa vizuri wewe usome hiyo habari then kwenye blog yako ufanye summary kwa maneno yako yawe ya kigereza au kiswahili huku ukinukuu baaadhi ya mistari ........................

So copy and paste haikwepeki lakini blooger wanatakiwa kujua namna ya kuweka kachumbari na kuifanya habari japo ni ya copy and paste iwe mpya.

Kuna uwezekanko kubwa wa kukutana na blog yako nikisearch maneno "njia rahisi ya kupata masoko katika biashara " lakini chance ya kupata blog yako niki search tiitle "WHO IS PAUL ZANE FILZER" ni ndogo mno. Basi japo jaribu kubadilisha heading ziwe za kiswahili kusaidia index ya blog yako.

Lanini kwa design naona na nadhani i blog yako iko bomba ila quality ya image unazotumia sio nzuri. ziko distoretd. jaribu kulingalia hilo

Vile vile binfsi kama ningekuwa blogger ningewasilisha ujumbe kwa style shirikikishi. Zaidi Yaani Ujumbe wa blog yako kama "mtu kuachwa umasikini katika fikara zake mwenyewe" na "Njia rahisi ya kupata masoko" . Ni mzuri sana ila jaribu
• usionekanae unawapiga watu lecture sana vuta wasomaji na tumia style ili wasomaji nao watoe uzoefu wao
• Usiwe too formal katika kuwasilisha ujumbe. Ujumbe mzuri wa blog sio ule unaofanana na artcicle za kwenye magazeti.
• Toa mifano hai kuhusu mada unazoongelea. na ikiwezekana jairbu kuwa specific. Mfano uzoefu wa kufungua biashara Kkoo unaweza kuwa tofauti na sinza japo principal ni zile zile
Ni hayo tu lakini hongera

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
kati ya zote umeona U-turn??? mmmh

hahahha Sniper
zipo nyingi lakini sababu ujumbe nilitaka kutoa na ubadlishana mawao na wadau hapa unaendana zaidi na hiyo blog. Yaani haijawa designeded vizuri lakini inaonekana inapendwa na kundi fulani.

Lakini si unaona nimetaja na TBC na NSSF teh teh teh teh

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
Hongera sana mkuu kweli copy and paste haiwezi kukwepek a hasa kama mtu ana kazi nyingine za kufanya . Lakini nadhani ni vizuru mtu uwe na sera kuwa katika kila post 5 basi tatu ziwe za kwako.

Kitu kingine hata kama ni ku kocpy na kupaste unaweza kusoma article mbili au tatu mtandaoni ukazi chanaganya Ideas zake ukaja na artice bila kutumia muda mrefu.

Mfano uki google  paragraph hii ambayo iko kwenye ukursa wako kuhusu I have a dream iuna kutana ina refer kwenye tovuti nyingi na sijaona blog yako.

Basi ingekuwa vizuri wewe usome hiyo habari then kwenye blog yako ufanye summary kwa maneno yako yawe ya kigereza au kiswahili huku ukinukuu baaadhi ya mistari ........................

So copy and paste hai kwepeki lakini blooger wanatakiwa kujua namna ya kuweka kchumbari na kuifanya habari japo ni ya copy and paste iwe mpya.

ina uwezekanko kubwa wa kukutana na blog yako niisearch maneno "njia rahisi ya kupata masoko katika" lalini chance ya kupata blog yako nik i search tiitle "WHO IS PAUL ZANE FILZER" basi japo jaribu kubadilisha heading ziwe za kiswahili kusaidia indez ya blog yako.

Lanini kwa design naona na nadhani i blog yako iko bomba ila quality ya image unazotumia sio nzuri. ziko distoretd. jaribu kulingalia hilo

Vile vile binfsi kama ningekuwa blogger ningewasilisha ujumbe kwa style shirikikishi. Zaidi Yaani Ujumbe wa blog yako kama "mtu kuachwa umasikini katika fikara zake mwenyewe" na "Njia rahisi ya kupata masoko" . Ni mzuri sana ila jaribu

usionekanae unawapiga watu lecture sana vuta wasomaji na tumia style ili wasomaji nao watoe uzoefu wao

Usiwe too formal  katika kuwasilisha ujumbe. Ujumbe mzuri wa blog sio ule unaofanana na artcicle za kwenye magazeti.

Toa mifano hai kuhusu mada unazoongelea. na ikiwezekana jairbu kuwa specific. Mfano uzoefu wa kufungua biashara Kkoo unaweza kuwa tofauti na sinza japo principal ni zile zile

Ni hayo tu lakini hongera

kaka asante kwa ushaurı wako mzurı,ıla kuhusu pıcha hapo itabidı nıombe wana jf wanısaıdıe jınsı ya kutumıa adobephotoshop,au kama wewe unaweza sıyo mbaya kunıelekeza kaka.

MtuMmoja

Member
Aug 30, 2011
78
95
Umegusa nilipo kaka!!came on!offcoz nna blog yangu inayohusu maswala ya IT ila haiko fresh kivile katika traffics!!!Ila hiyo joomla kwa sasa naitumia kwa website,so this has waken me up!!!thank u guy!!!!!appreciate!

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,114
2,000
hivi hamuijui wordpress??? Mimi nilitengeneza just kujaribu tuu nkaeka post kama nane but kwa siku average kama watu 8 sjawahi kuiadvertise au kufanya lolote, ndo blog ambazo zipo visible kushinda blog zote google,

hawa jamaa wana google na alexa rank kubwa nassugest kama wataka blog nenda kwao WordPress.com - Get a Free Blog Here

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
Mtazamaji embu naomba unipe mtazamo wako hapa kwangu...

Be brave....Inspire and let yourself be inspired!

lızzy kumbe na wewe humo pande hzi za blog,ngoja niicheck kwanza.

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
Kidogo mtu wangu...nasubiria feedback!

nimeicheck nı nzurı na ina mada nzurı,ila nımeifungua kupitia sımu ngoja nıkıwa mazngra mazurı ntaicheck through pc then ntakupa feedback

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
Mtazamaji embu naomba unipe mtazamo wako hapa kwangu...
Be brave....Inspire and let yourself be inspired!

Lizzy kwa kuwa Content za blog yako na muonekano wake ziko super wa mtazamo wangu ushuri wangu utajikita zaidi kwenye SEO

Inabidi ujipe muda wa kuelewa na search egine zinavyofanya kazi ili uweze kujua nama ya kuifanya blog yako na article zako ziwe katika viwango viziri vya SEO( Search engine optimasation). bado naendea kujifuna area hii.

Marekebisho nayopendekeza ufanye

Tiitle ya blog yako ni ndefu sana , haiipi identity blog yako na kwa lugha uliyotumia hata ikiwa indexxed inaweza kuwa kuwa mbali sana
• chukulia mfano michuzijr.blogspot.com/ yeye tittle ya blog yake ni Jiachie . ssamichuzi.blogspot.com yeye tiitle ya blog yake ni MIchuzi.. Kwa mtazamao wangu hizo tiitle ni kama brand na ni identity na kwa kuwa niza kiwashili na fupi . Wewe Tiitle ya blog Be brave....Inspire and let yourself be inspired! ni ndefu , na kwa kwa kwuwa umetumia english hiyo tiitle hata ikiingizwa kwenye index za search engine kama google na bing. bado itakuwa ya miwsho mwisho sababu hayo maneno uliyotumia yameshatumika sana na site mbali mbali . So tafuta tiitle amabyo mtu hata kama kasahu jina la blog yako akiingiza hilo neno kwenye google au bing basi blog yako ije.

• Nilichosema kwenye tiitle pia kinagusa kwenye makala zako. na specific Makala uliyoipta kichwa cha habari What are your dreams for. Search engine zinavyofanya kazi ni pamoja na kucheki headers( vichwa vya habari ) za makala. Sasa kwa case hii kichwa cha habari ni cha kingereza . Hata kiichukuliwa bado kitakuwa indexed kwenye ukurusa wa mwish mwisho sababu hayo manne yameshatumika sana kikwazo kitakuwa ni lugha uliyotumia na maneno. So kama unatumia kingereza jaribu kutumia maneno fulani. eg
• Unaweza kuamua kuchapia kwa maksudi bila kupotosha maana ili kichwa cha habari kiwe na identity. hata article ikiwa indexed iwe tofauti na hivyo iwe juu juu
• otherwise Lizy tumia kiswahili . Vile vile nilimwambia Shayo jinsi nilivyosoma ukiwa na blog sio lazima uwe tooo formal kama gazeti. Mfano chukulia neno "ze fulanazz" hiki ni kijineno sio lugha fasaha lakini google inakitambua na katika ukitambua unaweza kukutana kimekuwa inexe kwa site ya michuzi. Inawezekana yeye hakujua wala kukusuia lakini kutumia some infomal wors bila kupoteza maana kunasaiia. Angetumia neno T-shirt wala blog yake isingekuwa indexed kwa neno hilo
Unaweza kuingiza blog yako na hata tiitle za machapisho yako kwenye search engine za google , bing na yahooo uone utapata feedbakc gani. Sometime website kuwa indexed kwenye bing inahitaji usajili . Ni kitendo cha sekunde chache. japo kinachukua muda kuppata feedback Unaingiza jina la blog tu . Kama ukiingiza jina la blog yao uaona haliji kwenye bing nenda hapa Toolbox - Bing

Ukisoma article hizi utajifunza mengi lakini ya muhimu sana kwako yanaweza kuwa
1. Give every page a meaningful title. Soma http://www.webproguide.com/articles/Get-indexed-by-Googles-Googlebot-right-away-the-right-way/Kwa case yako ndio nimesema give vey article a meaninful and descrptive tittle
2. Think about the words users would type to find your pages, and make sure that your site actually includes those words within it. Soma Webmaster Guidelines - Webmaster Tools Help . Kwa hiyo nakushauri tumia tiitle ya neno zawadi
Zaidi ya search engine nadhani tafuta njjia za kibunifu za kuitangza blog yako kwenye social network na site kama fb jamii forum, etc teh teh teh teh. teh. kivipi?
• Usionekana wewe nmwenyewe mwenye blog unajaribu kuuza blog yako .Kwa style hii utapata feedback sincere kutoka kwa watu na utapata watu wengi zaidi.
Summary.
Zaidi ya mambo ya SEO blog yao iko kamili kwa contents na muonekano. Big up kazi uliyonayo ni kuimarket. na ukizingatia mambo ya SEO vizuri ni njia moja ya kumarket blog. Hope pia unatumia Google analytics kujua tren ya trafific

NB
Hata hivyo lizzy Niko kwenye resech na kujifunza zaidi so usichukulie ushauri huuu kama wa mtaalama saaaaana. na kuna wataalama wanaweza kunisahihisha pia kama nimekosea.

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
hivi hamuijui wordpress??? Mimi nilitengeneza just kujaribu tuu nkaeka post kama nane but kwa siku average kama watu 8 sjawahi kuiadvertise au kufanya lolote, ndo blog ambazo zipo visible kushinda blog zote google,

hawa jamaa wana google na alexa rank kubwa nassugest kama wataka blog nenda kwao WordPress.com - Get a Free Blog Here

Mkuu tupeane ujuzi zadii na uelimishana inaitwaje hiyo blog uliyotengeza

Umegusa nilipo kaka!!came on!offcoz nna blog yangu inayohusu maswala ya IT ila haiko fresh kivile katika traffics!!!Ila hiyo joomla kwa sasa naitumia kwa website,so this has waken me up!!!thank u guy!!!!!appreciate!

Mkuu kutokuwa fresh sio issue mradii umelitambua toa darasa na experince yako usibanie ujuzi

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
Hii ni summay na nukuu ya vitu navyona ni muhimu kuzingatia kwa mujibu wa vyanzo nilivyosoma na kutoa link zake juu

......In theory, it is simple ....

..........In practice, it is not that simple. It is not that simple because there are thousands, possibly even millions of sites like yours,
Hapa unaweza kuona umuhimu wa kujaribu kuwa tofauti (Identity). Iwe ni kwa lugha au uchaguzi wa maneno hsa kwenye Tittles

..........Google does everything through automation. Websites are indexed (or crawled, or spidered - all terms refer to the same process) by their indexing software called Googlebot. Googlebot looks at websites daily, and rules programmed into the software decide which of your pages make it into the main Google index and which don't.
Kwa hiyo ni muhimu kwa blogger kujua kidogo rules Googlebot anazotumia. H1 na H2 heaer tags ni baahi ya vitu googlebot anacheki kwenye web

............After your site was indexed, whether it was submitted for indexing by a human or the robot just stumbled upon it, your pages are ranked, so Google knows on which page of a search to put your site on
So ukitumia tiittle kwenye article kama "WHO IS PAUL ZANE PILZER" rank yake itakuwa ni nogo. una web sitakuwa rakne juu zaii kwa tittle hiyo hiyo.

.....Search engines interpret header tags as indicators of relevancy. They perceive H1 and H2 tagged text as the most important part of the. That's why header tags should be used wisely in order to reinforce the overall effectiveness of the content and contribute to higher search engine rankings
Note: H1 ndio Tiitle ya websiteau blog nzima au blog na H2 ndio Tiitle za articles. So ukitumia tiitle za kucopy bila kubadilsiha kitu unapunguza ufanisi wa blog yako. Ukitumia title za kigereza ambazo ni common unapunguza ufanisi wa blog yako kwenye SEO

.......Apart from generating targeted traffic a website should also be appealing to the users. That is why H1 and H2 tag analysis takes human factor into account. It's common fact that Internet surfers tend to prefer short messages to lots of textual information.

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
22,967
2,000
Lizzy kwa kuwa Content za blog yako na muonekano wake ziko super wa mtazamo wangu ushuri wangu utajikita zaidi kwenye SEO

Inabidi ujipe muda wa kuelewa na search egine zinavyofanya kazi ili uweze kujua nama ya kuifanya blog yako na article zako ziwe katika viwango viziri vya SEO( Search engine optimasation). bado naendea kujifuna area hii.

Marekebisho nayopendekeza ufanye

Tiitle ya blog yako ni ndefu sana , haiipi identity blog yako na kwa lugha uliyotumia hata ikiwa indexxed inaweza kuwa kuwa mbali sana
• chukulia mfano michuzijr.blogspot.com/ yeye tittle ya blog yake ni Jiachie . ssamichuzi.blogspot.com yeye tiitle ya blog yake ni MIchuzi.. Kwa mtazamao wangu hizo tiitle ni kama brand na ni identity na kwa kuwa niza kiwashili na fupi . Wewe Tiitle ya blog Be brave....Inspire and let yourself be inspired! ni ndefu , na kwa kwa kwuwa umetumia english hiyo tiitle hata ikiingizwa kwenye index za search engine kama google na bing. bado itakuwa ya miwsho mwisho sababu hayo maneno uliyotumia yameshatumika sana na site mbali mbali . So tafuta tiitle amabyo mtu hata kama kasahu jina la blog yako akiingiza hilo neno kwenye google au bing basi blog yako ije.
• Nilichosema kwenye tiitle pia kinagusa kwenye makala zako. na specific Makala uliyoipta kichwa cha habari What are your dreams for. Search engine zinavyofanya kazi ni pamoja na kucheki headers( vichwa vya habari ) za makala. Sasa kwa case hii kichwa cha habari ni cha kingereza . Hata kiichukuliwa bado kitakuwa indexed kwenye ukurusa wa mwish mwisho sababu hayo manne yameshatumika sana kikwazo kitakuwa ni lugha uliyotumia na maneno. So kama unatumia kingereza jaribu kutumia maneno fulani. eg
• Unaweza kuamua kuchapia kwa maksudi bila kupotosha maana ili kichwa cha habari kiwe na identity. hata article ikiwa indexed iwe tofauti na hivyo iwe juu juu
• otherwise Lizy tumia kiswahili . Vile vile nilimwambia Shayo jinsi nilivyosoma ukiwa na blog sio lazima uwe tooo formal kama gazeti. Mfano chukulia neno "ze fulanazz" hiki ni kijineno sio lugha fasaha lakini google inakitambua na katika ukitambua unaweza kukutana kimekuwa inexe kwa site ya michuzi. Inawezekana yeye hakujua wala kukusuia lakini kutumia some infomal wors bila kupoteza maana kunasaiia. Angetumia neno T-shirt wala blog yake isingekuwa indexed kwa neno hilo
Unaweza kuingiza blog yako na hata tiitle za machapisho yako kwenye search engine za google , bing na yahooo uone utapata feedbakc gani. Sometime website kuwa indexed kwenye bing inahitaji usajili . Ni kitendo cha sekunde chache. japo kinachukua muda kuppata feedback Unaingiza jina la blog tu . Kama ukiingiza jina la blog yao uaona haliji kwenye bing nenda hapa Toolbox - Bing

Ukisoma article hizi utajifunza mengi lakini ya muhimu sana kwako yanaweza kuwa
1. Give every page a meaningful title. Soma http://www.webproguide.com/articles/Get-indexed-by-Googles-Googlebot-right-away-the-right-way/Kwa case yako ndio nimesema give vey article a meaninful and descrptive tittle
2. Think about the words users would type to find your pages, and make sure that your site actually includes those words within it. Soma Webmaster Guidelines - Webmaster Tools Help . Kwa hiyo nakushauri tumia tiitle ya neno zawadi
Zaidi ya search engine nadhani tafuta njjia za kibunifu za kuitangza blog yako kwenye social network na site kama fb jamii forum, etc teh teh teh teh. teh. kivipi?
• Usionekana wewe nmwenyewe mwenye blog unajaribu kuuza blog yako .Kwa style hii utapata feedback sincere kutoka kwa watu na utapata watu wengi zaidi.
Summary.
Zaidi ya mambo ya SEO blog yao iko kamili kwa contents na muonekano. Big up kazi uliyonayo ni kuimarket. na ukizingatia mambo ya SEO vizuri ni njia moja ya kumarket blog. Hope pia unatumia Google analytics kujua tren ya trafific

NB
Hata hivyo lizzy Niko kwenye resech na kujifunza zaidi so usichukulie ushauri huuu kama wa mtaalama saaaaana. na kuna wataalama wanaweza kunisahihisha pia kama nimekosea.

Asante sana Mtazamaji...this is more than i expected.

Nikipata nafasi ntafanyia ushauri wako wote kazi....Asante tena.

Hopefully utaendelea kunitembelea ili ikitokea sehemu nikakorofisha niweze kupata maoni yako na kurekebisha.

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
5,932
2,000
Mtazamaji embu naomba unipe mtazamo wako hapa kwangu...

Yaani haijawa designeded vizuri lakini inaonekana inapendwa

Inorder to get visitors (traffic) to your blog you need to do your due dilligence. Yes it's aint easy, it's a boring task but life and just about anything worth a while aint easy.

Now, without getting too technical, I'll cut out the bones and get you the meat. Do these and you'll get more traffic:

1. Show some expertise.
Write a good article about something you're passion/know about and post as a guest to other people's blogs. When writing use simple langage as if you're talking to a child. Make it easy to understand and don't forget to entertain your readers. Dont give all the meat though, bait them by telling them to read more on your blog, that way they'll be hooked.

2. Thy shall not copy and paste.
I know, I know it's nice to search on google and make use of one of your very basic computer skill, right click, copy and paste, I know it's easy but you can't get credibility online if you run around copying every Hawa, Juma and Amani articles and paste them on your blog. Your readers will not like it and they'll diss you some day.

The very same reason you come here at Jamiiforums is because of new updated contents you can't get elsewhere. So learn from yourself, the same task will work to bring visitors your blog. Got it! Say yes basi.

Now you may ask where to find unique content?

It's right here in front of you, it's called Jamiiforums. Use site: operator to search for different problems some members have posted. See what i mean

site:jamiiforums.com +nimechoka

Have a piece of paper handy to jot down ideas and guess what! These are the same problems your potential readers will be happy to read. Once you get the ball rolling your blog will go viral and as they say the rest will be histoy.

3. Design
Design is important but from my 8 years of experience making money online I can tell you first hand that it's the least important reason people visit a website/blog.

4. Links
If you're planning to run your blog long term then you must build links. I mentioned above about being a guest poster as one way of building links when you bait vistors to go to your site for further reading but let that not be the end of it, you need to post comments on other blogs and put a linkback to your blog. That way search engine will think/believe your blog is important because it's associated with other similar blogs.

5. Talk to humans not robots.
You'll see I've used YOU.. YOU.. YOU a lot here, it wasn't an accident, it's a psychological trigger to tell your subconscious mind that, you're special (...and yes you are). Your readers will forget that they're reading an article but talking to you, so use it religiously in your articles. Well, I don't wanna spill all the beans as I don't wanna blow your mind LOL. Have fun blogging, Cheers! Chamoto

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom