Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Nov 4, 2014 #41 Amavubi said: usije panda na huyo nge wako Click to expand... Hahahahahaaa si tunapanda tu humo bila ya kulipa hata nauli!
Amavubi said: usije panda na huyo nge wako Click to expand... Hahahahahaaa si tunapanda tu humo bila ya kulipa hata nauli!
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,449 Reaction score 9,739 Nov 4, 2014 #42 Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Nov 4, 2014 #43 inavutia......
Nasakadoo JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 343 Reaction score 169 Nov 4, 2014 #44 MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 4, 2014 Thread starter #45 Red Scorpion said: Hahahahahaaa si tunapanda tu humo bila ya kulipa hata nauli! Click to expand... mkipanda tunasusa wallahi
Red Scorpion said: Hahahahahaaa si tunapanda tu humo bila ya kulipa hata nauli! Click to expand... mkipanda tunasusa wallahi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 4, 2014 Thread starter #46 MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... unafanania kabisa
MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... unafanania kabisa
D Dina JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 3,248 Reaction score 1,818 Nov 4, 2014 #47 Hili sisi wa kanda fulani halitufai...hasa vipeto vya mchele na viazi vitakaa wapi?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 4, 2014 Thread starter #48 Dina said: Hili sisi wa kanda fulani halitufai...hasa vipeto vya mchele na viazi vitakaa wapi? Click to expand... jasiri haachi asili
Dina said: Hili sisi wa kanda fulani halitufai...hasa vipeto vya mchele na viazi vitakaa wapi? Click to expand... jasiri haachi asili
R Rubuye123 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,379 Reaction score 1,944 Nov 4, 2014 #49 Aaisee!!!
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Nov 4, 2014 #50 Amavubi said: mkipanda tunasusa wallahi Click to expand... Kwani hata utatuona?
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Nov 4, 2014 #51 mkweli wa mambo said: Duuuuh!!! lazima niende tanga hata kama sina ndugu huko...wadau na wenyeji wa tanga ebu niambieni na mnipe direction hotel nzuri ya kufikia kwa mgeni ni ipi? msaada tafadhali Click to expand... Wasaliana na Mwanyasi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mkweli wa mambo said: Duuuuh!!! lazima niende tanga hata kama sina ndugu huko...wadau na wenyeji wa tanga ebu niambieni na mnipe direction hotel nzuri ya kufikia kwa mgeni ni ipi? msaada tafadhali Click to expand... Wasaliana na Mwanyasi.
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Nov 4, 2014 #52 MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... Kwahiyo 22 elfu ndo inaweza kukukinga na ajali?
MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... Kwahiyo 22 elfu ndo inaweza kukukinga na ajali?
kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,755 Nov 4, 2014 #53 lawmaina78 pitia hapa utuambie je kenya bus kama hizi mnazo?. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kadoda11 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 21,453 Reaction score 20,755 Nov 4, 2014 #54 kalimizzle said: Fisadi gani anamiliki hii luxury??? Click to expand... haituhusu,kaiba nyumbani kawekeza nyumbani.heko mmiliki wa ratco.
kalimizzle said: Fisadi gani anamiliki hii luxury??? Click to expand... haituhusu,kaiba nyumbani kawekeza nyumbani.heko mmiliki wa ratco.
Blog JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 320 Reaction score 129 Nov 4, 2014 #55 MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... Mkuu jikune unapoweza na starehe gharama, unataka yale mabasi unapanda na kuku ndani afu safari ya Tanga kama unaenda Bukoba?
MUSSOLIN said: Tanga nauli sh.13 elfu, siwezi kulipa 35000. kwani ina garantii kwamba haipati ajali Click to expand... Mkuu jikune unapoweza na starehe gharama, unataka yale mabasi unapanda na kuku ndani afu safari ya Tanga kama unaenda Bukoba?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Nov 4, 2014 #56 Amavubi said: ukitaka uzuri sharti udhurike, nauli ni 35,000 kwa VIP seats na 20,000/- kwa economy Click to expand... Duuh.......kuna VIP na Economy...!!! Basi ni noma
Amavubi said: ukitaka uzuri sharti udhurike, nauli ni 35,000 kwa VIP seats na 20,000/- kwa economy Click to expand... Duuh.......kuna VIP na Economy...!!! Basi ni noma
SaidAlly JF-Expert Member Joined Jan 22, 2011 Posts 2,339 Reaction score 2,249 Nov 4, 2014 #57 kadoda11 said: haituhusu,kaiba nyumbani kawekeza nyumbani.heko mmiliki wa ratco. Click to expand... Jibu sahihi, ......mahali sahihi, .......kwa wakati sahihi, ......kwa mlengwa sahihi. Kula tano best!!
kadoda11 said: haituhusu,kaiba nyumbani kawekeza nyumbani.heko mmiliki wa ratco. Click to expand... Jibu sahihi, ......mahali sahihi, .......kwa wakati sahihi, ......kwa mlengwa sahihi. Kula tano best!!
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,219 Nov 4, 2014 #58 Duu fastjet na precision watasubiri sana
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 4, 2014 Thread starter #59 Red Scorpion said: Kwani hata utatuona? Click to expand... habari yenu nitaipata
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Nov 4, 2014 Thread starter #60 MANI said: Wasaliana na Mwanyasi. Click to expand... au Zumbemkuu