RATCO Express-Usipime

Aiseed lazima utoe 30k kwenda tanga...!!
 
Usipime.........kwa kweli wameanza vizuri......ila wahudumu waweke wanawake........kwa route ya AR/TA........ingependeza.........
seconded kabisaaaaaa
 
Duuuuh!!! lazima niende tanga hata kama sina ndugu huko...wadau na wenyeji wa tanga ebu niambieni na mnipe direction hotel nzuri ya kufikia kwa mgeni ni ipi? msaada tafadhali
 
mabasi mazuri ,,huduma nzuri ila ushauri kwao,,wale wahudumu wanawake waache kukaa pale mbele karibu na dereva na kumpigisha dereva story ni hatari
 
Hiyo namba 666 juu ya huyo dada mwenye suti inatia hofu. Hii mibasi isije ikawa ya mpinga Kristo. Ni tahadhari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…