Rastafarians wamfanyia ibada Hayati Dkt. John Magufuli

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,017
9,885
Waumini wa Rastafarian wamemfanyia ibada Rais Magufuli aliyefariki Machi 17, 20201 kwa matatizo ya moyo katika Hospitali ya Mzena.

Waumini hao wamesema wanamchukulia Magufuli kama Nabii wao kwa kuwa hata namna yake ya kiutawala ni namna ya kiafrika ya kutawala ya kutanguliza utu na maslahi ya taifa.

Wamesema tangu ameingia kwenye utawala walimuona kuwa Nabi ambaye badala ya jina la Yohana badaya ya John kama ambavyo linavyoandikwa. Hata hivyo jina John ni kiingereza cha jina Yohana.
 
Bangi mbaya sana
Sio kweli, na usipoteshe umma kwa uongo.

Kila kitu kina ubaya wake kutokana na matumizi yake hata maji ya kunywa ukinywa ndivyo sivyo yana athari.

Ukisifia Konyagi/K-Vant unaona ujanja ila Mmea unaukandia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom