The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,551
- 20,346
GT
Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama.
Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆
Dunia simama nishuke hii ndo Tanzania wazanibar siyo watu ni wanafiki na nusu. Hamna shida tutafika tu mdogo mdogo press ya polepole inatafutiwa maigizo mengi sana.