Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
  1. Familia ya Samia
  2. Familia ya Kikwete
  3. Familia ya Mwinyi
Marafiki na familia sindikizaji
  1. Familia ya Pinda
  2. Familia ya Lowassa
  3. Familia ya Magufuli
Familia zilizoachwa za
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa

Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.

Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
 
Umelenga kwenye mshono. Ngoja chawa waje kukushambulia. Samia ameongeza viungo na kukoleza ila usultani CCM ulikuwepo.
 
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
  1. Familia ya Samia
  2. Familia ya Kikwete
  3. Familia ya Mwinyi
Marafiki na familia sindikizaji
  1. Familia ya Pinda
  2. Familia ya Lowassa
  3. Familia ya Magufuli
Familia zilizoachwa za
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa

Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.

Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
Ni ngumu, 2030 tu hapo iwapo 2025 tutavuka salama regime inaweza ikahama kabisa.
 
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
  1. Familia ya Samia
  2. Familia ya Kikwete
  3. Familia ya Mwinyi
Marafiki na familia sindikizaji
  1. Familia ya Pinda
  2. Familia ya Lowassa
  3. Familia ya Magufuli
Familia zilizoachwa za
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa

Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.

Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
IMG-20250801-WA0089.jpg
 
Daah! Riz1 kapita bila kupingwa CCM
Ile familia wote wanapita bila kupingwa, Tsar JK ndiye mpangaji wa yote na hana haya sasa hapo unatemea nini zaidi familia teule kuwa kwenye usukani wakiwaburuza Wabongo.
 
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
  1. Familia ya Samia
  2. Familia ya Kikwete
  3. Familia ya Mwinyi
Marafiki na familia sindikizaji
  1. Familia ya Pinda
  2. Familia ya Lowassa
  3. Familia ya Magufuli
Familia zilizoachwa za
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa

Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.

Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
Naona Erythrocyte ameanza kuchoka mmeibuka wengine. Haya, kila la heri!!
 
Ile familia wote wanapita bila kupingwa, Tsar JK ndiye mpangaji wa yote na hana haya sasa hapo unatemea nini zaidi familia teule kuwa kwenye usukani wakiwaburuza Wabongo.
Hili jambo la familia ya jk kupita bila kupingwa lina fikirisha sana kwa ulimwengu wa watu ambao wapo sensible kichwani.
 
Halafu unakuta kuna wajinga wanashinda mitandaoni kumtetea Samia na ccm yake mpaka wanatukanana na watu, na wakati wao ni wanufaika wa mwisho kabisa wa mfumo wa ccm, yaan ni wala makombo akina Mwashambaa,Choicevariable na wengineo.
 
Hili jambo la familia ya jk kupita bila kupingwa lina fikirisha sana kwa ulimwengu wa watu ambao wapo sensible kichwani.
Ameshawaambia muache kumuonea wivu mkewe, kwani jimbo kwake hana mpinzani
 
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
  1. Familia ya Samia
  2. Familia ya Kikwete
  3. Familia ya Mwinyi
Marafiki na familia sindikizaji
  1. Familia ya Pinda
  2. Familia ya Lowassa
  3. Familia ya Magufuli
Familia zilizoachwa za
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa

Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.

Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
Mungu hataruhusu, hivi nyie huwa mnamtumikia Mungu yupi, wa mizimu au huyu nimjuae atupae pumzi ya kumpumua , kama ni huyu nimjuae mbona hawapi yapi ya mbele ,
 
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
  1. Familia ya Samia
  2. Familia ya Kikwete
  3. Familia ya Mwinyi
Marafiki na familia sindikizaji
  1. Familia ya Pinda
  2. Familia ya Lowassa
  3. Familia ya Magufuli
Familia zilizoachwa za
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa

Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.

Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
SUmaye mwanaye yupo katokea jimbo la Hanangu anaitwa fred anapambana na mary nagu
 
Back
Top Bottom