Rasmi sasa ITV, EATV na Iman TV ndani ya DSTV

Rasmi sasa ITV, EATV na Iman TV ndani ya DSTV

Watatoe tu yamekaa kimchongo FTA( free to air).ila kwa Dstv hizi ni NFTA( not free to air) inakera mabwanyenye walishaizidi akili jamhuri so wanajipangia walitakalo ,laiti yangekua na package yake excluded nisingelipia .
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Star TV imeongezwa pia channel 389.Hii ni habari njema kwa wapenzi wa BBC Dira ya dunia.
 
Back
Top Bottom