mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Pia lazima ulipie.Kukosekana hizo channel dstv haikuwa sababu ni wao… acha uzwazwa!
Mataga wanafurahia wanadhani ni free
Pia lazima ulipie.Kukosekana hizo channel dstv haikuwa sababu ni wao… acha uzwazwa!
DStv ina package ya 9900? Mbona sijui hii kitu.Hakikisha umelipia kifurushi chochote ili uwe active yaani kuanzia 9900 kwenda mbele
Ni kweli mkuu baada ya kusikia kilio kutoka kwa team lia lia😭 waliamua kuanzisha hicho kifurushi ni kwashilingi 9900 tu😁DStv ina package ya 9900? Mbona sijui hii kitu.
Mkuu ni kweli lkn tunafundishwa kwanza kupenda cha kwetu chetu ni chetu, nyumbani kwanzaMi hata sielewi hizi local channel mnazifurahia nini? Hazina content za maana
Mkuu hukuwa na sababu ya kutumia maneno makali kiasi hicho, labda kwa faida ya wengine iko hivi. Furaha hii unayoiyona ni kwasababu vya nyumban sasa zinakwenda kuonekana kwenye nyanja za kimataifaKukosekana hizo channel dstv haikuwa sababu ni wao… acha uzwazwa!
Hizi local channels watu wanazidharau but ndo zenye vipindi vya maana vinavyoelemisha, siyo hizi kina wasafi na etv mwanzo mwisho mziki tu.Mkuu hukuwa na sababu ya kutumia maneno makali kiasi hicho, labda kwa faida ya wengine iko hivi. Furaha hii unayoiyona ni kwasababu vya nyumban sasa zinakwenda kuonekana kwenye nyanja za kimataifa
Itakumbukwa kuwa hata huko nyuma hizi channel ziliwahi kuwepo na kwa pamoja tulizifurahia sana kwasababu tunakwenda kujitangaza kimataifa zaidi nitumie nafasi hii kuwaasa vijana wenzangu tupende kuvipenda vya kwetu hata kama mnaona havina maana nyumbani kwanza.
Vilevile angalia hata nguvu inayotumika kutoa taarifa juu ya uwepo wa hizi channel ndani ya DSTV hata wao wanaona fahari kuwa kwenye kisimbuzi hiko.
CHANEL 10- 386
Msaada nini tofauti ya channel 10- na 10+Bado Startv na channel.10+
Kabisa kabisa, newz only. Hii kwa wengi tu tunafanya hivo.Maisha yanaenda kwa kasi,miaka ina ends eti mie siku hizi TV naangalia taarifa ya habari tu...
Acha tu aisee,wakati kipindi kile mzee akiweka habari mtu unamindMaisha yanaenda kwa kasi,miaka ina ends eti mie siku hizi TV naangalia taarifa ya habari tu...
Hizo ni free to air hta kama asipolipia Kabsa hTa mwaka mzimHakikisha umelipia kifurushi chochote ili uwe active yaani kuanzia 9900 kwenda mbele
Taratibu basi mkuu, tulia tuyajenge bila hasira.... Usiwe na hasira.Acheni kushangilia upumbavu nyie!!DStv ni kampuni ya kinyonyaji tu!!canal sports iruhusiwe kuwa rasmi tz kwa 37000/= unacheki Hadi UEFA kama tatizo ni kifaransa basi waweke option ya kiswahili tucheki gem live kwa bei nafuu kuliko ujinga wa DStv!!!msiwe mnashangilia ujinga nyie mnakera Sana kama watoto vile!!
Unaniuliza au unanijulisha?!!!🤭Hizo ni free to air hta kama asipolipia Kabsa hTa mwaka mzim
Mkuu hawa wote ni watoto wa baba mmoja aitwae AFRICA MEDIA GROUP ambae kama sikosei anamiliki karibu tv nne na radio mbili ikiwemo classc fm na magic fmMsaada nini tofauti ya channel 10- na 10+
Kiukweli hata mie ninafuraha sana🤣Safi sana. Nimefurahia sana hii kitu. Wale wapuuzi wa TCRA waliohusika na kuwabania DSTV wasionyeshe local channel natamani wabalaswe kazi wasiwepo kazini pumbavu wale.
Nape nampa Big up sana kwa hili amepatia sana. Maana startimes Na Azam walikuwa wanatuletea nyodo za kipuuzi shenzi zao.....
Kwasasa watanyooshwa mbweha hawa..... Natupa maving'amuzi yao store naanza kutumia DSTV full time.
Umeona alma ya kuuliza mkuu?Unaniuliza au unanijulisha?!!!🤭
🙏Mkuu hawa wote ni watoto wa baba mmoja aitwae AFRICA MEDIA GROUP ambae kama sikosei anamiliki karibu tv nne na radio mbili ikiwemo classc fm na magic fm