Dstv yaondoa ITV katikati ya taarifa ya habari na kuweka EATV kuna msala gani?

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Katika hali ya ajabu dstv wameondoa matangazo ya itv na kuweka eatv katikati ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku
 
Katika hali ya ajabu dstv wameondoa matangazo ya itv na kuweka eatv katikati ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku
Ni tatizo la ITV (sender wa signal) wenyewe,
Maana hata Azam waliitoa wakaweka EATV pia, lakini sasa wameirudisha
 
Kwanza ni aibu TV ya AFRIKA MASHARIKI yenye tuzo zake za AFRIKA MASHARIKI kukosekana kwenye dstv
 
kumradhi watazamaji ni hitilafu ndogo ilitokea kwenye chumba cha ufundi, harakati zaidi zinaendelea tutarejea tulipoishia hivi punde , poleni kw kukereka
 
Mkuu na wewe umenunua DSTV zile za Offer basi am sure kila siku pengezi kwa dstv hazitaisha Mashikolo mageni ndoho tabu
 
Aiseeeee Mimi nilishaanza kupiga simu chumba cha Watu wa Dstv ila bht zipo busy nikajua Kwangu tuuu.Ila kumbe wakairudisha.
Jf watu wapo makini sana.
Tumpongeze mtoa habari what if wasingerudishaaaaa.Kila MTU huangalia Channel yake kutokana Na kitu flan.
Mfano Mimi.Where is Elisa??hainipiti
 
ITV naye kama kabweteka Fulani hivii ,mana habari binafsi Azam two kama wako vizuri wajipange tuu!!
 
Back
Top Bottom