Rasmi nimejiajiri kama Afisa Ubashiri

Rasmi nimejiajiri kama Afisa Ubashiri

Karibu Sana kwenye ulimwengu wa kufikirika. Wenzio tushazoea
 
Mbona mtaani maafisa ubashiri na maafisa usafirishaji tuko wengi sana mkuu?
 
Wakati unasuka mkeka wako uwe unsikiliza hii nyimbo Afisa Ubashiri by Bugaleez kuna kitu utakipata kiongozi mixer hasira za kusuka mkeka.
 
Kwakuwa maisha ni mapambano nmeamua kuwa afsa ubashiri na mtaji wangu wa karibia 800K, nakarbsha maoni yenu WAKUU.
Kazi moja nzuri sana

Shida mtaji

1.usistake odds nyingi

Weka mkeka wa odds 2 mpaka 3
Mtaji
800000
Tumia laki moja mikeka miwili kila siku
Weka mikeka miwili ya odds 2 mpaka 3
Stake 50000@
Kwaisku utatumia 100000
Na 💯 mmoja ama yote lazima itiki
Ukitiki
Ukiwin mmoja unarudisha mtaji wako kama umewka odds 2 ..kama odds 3 ina kafaida cha 50000
Siku ya 2
Fanyahivyo
Mpaka siku nane
Usitumie faida ongezea kama mtaji wako
 
badala ya siku 8 unaongeza siku za kubet ukifikisha mil 1.3 una siku 13
Do same mpaka ziishe angalia faida ongezea mpaka unafikia kubet 100000 siku 30

Hapo unanza kuuacha ukapera wa umasikin usidharau ndugu wala rafiki

Usiongeze odds za tamaa dili na 2 mpk 3

nikopals kwa massawe wakala

Usisahau sadaka no yangu n ilelile

Rgds
Adv
Betting association
centre....
 
Uko sahihi afsa mwenzang mie jmosi hapo nimestake elfu 20 nmepata laki tisa na hamsini n uhakika hii ajira
 
Hiyo laki 8 ungefungua tu ngenge la mitumba usingekosa chochote kitu, lakini huko ulikochagua kwenda, Mimi Niko pale nakuchora mkuu hutoboi round
Ni ngumu sana kutoboa kwenye betting.
 
Ulichelewa wapi? Ona sasa mnakuja uzeeni.
All the best
 
Ile unaweka tu kwenye odd ya 1.2 au 1.19 ukizani umeua, unashangaa hata cash out ya 100 upewi mara unajipa moyo , mara dk ya 75 draw, 85 1-0 unavimba dk ya 90 1-1 hapo kipenga kinalia na wewe unaanza kulia mpaka magomeni mapipa bahati mbaya askari walinda amani hawatakuwepo.
Kipenga kinalia na wewe unaanza kulia 😀😀
 
mtoa mada, Real Betis kakuchania.
Mimi nilimwogopa, nikasema nae hivi na nikampasua vibaya.
Screenshot_20240924-091327_Megapari.jpg
 
Back
Top Bottom