Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,357
- 11,076
- Thread starter
- #41
Embe fafanua hii mbwinuMartingale Strategy awe rafiki yako Utawini sana
Embe fafanua hii mbwinuMartingale Strategy awe rafiki yako Utawini sana
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣 hapo umenigungua .Badala ya Maafisa watoa uroda ungewaita maafisa utelezi🤣
Asijifanye kuchambua game kama Shafii Dauda maana kadri unavyoziangalia mechi na chance ya kupoteza game inaongezekaUkitaka uwe mbashiri mzuri, hakikisha hauwi timamu utazifaidi hela za muhindi
Kila la kheri Mkuu
Hongera sana Mkuu huwa unatumia mtandao wa Thread ? Nataka nikupe maujanjaKwakuwa maisha ni mapambano nmeamua kuwa afsa ubashiri na mtaji wangu wa karibia 800K, nakarbsha maoni yenu WAKUU.
🤣🤣Pakuanzia nmempa shaktar donesk mazima, real betis double chance, na atlanta mazima nimeweka 50k imekuja kama 96000, ambapo nkila faida yake naweza lipa AFISA ULEZI mshahara wa mwezi mzima.
Mmsapoti sasa hata kwa odds 10 kila sikuTips hizo hapo weka hata laki hapo
Kazi alizoziasisi Mh jiwe na kumrithisha Mh. Chura ;
Maafisa usafirishaji
Maafisa ubashiri
Maafisa wakodishaji na wauzaji (madalali)
Maafisa watoa uroda
Maafisa watoa mnduku
Maafisa wachoma mikaa






Nimemuuliza hapo anatumia mtandao wa Thread?Mmsapoti sasa hata kwa odds 10 kila siku
Anafanya diet huyo.Asiwe tu na roho nyepesi
😂😂😂😂Anafanya diet huyo.
Badala ya kunywa Supu na chapati atakula mihogo na juice. Nyingine ataipeleka kwenye Mkeka
Naam, umenipata vyema MkuuAsijifanye kuchambua game kama Shafii Dauda maana kadri unavyoziangalia mechi na chance ya kupoteza game inaongezeka