Rasmi nimejiajiri kama Afisa Ubashiri

Rasmi nimejiajiri kama Afisa Ubashiri

Pakuanzia nmempa shaktar donesk mazima, real betis double chance, na atlanta mazima nimeweka 50k imekuja kama 96000, ambapo nkila faida yake naweza lipa AFISA ULEZI mshahara wa mwezi mzima.
 
Kwakuwa maisha ni mapambano nmeamua kuwa afsa ubashiri na mtaji wangu wa karibia 800K, nakarbsha maoni yenu WAKUU.
Ile unaweka tu kwenye odd ya 1.2 au 1.19 ukizani umeua, unashangaa hata cash out ya 100 upewi mara unajipa moyo , mara dk ya 75 draw, 85 1-0 unavimba dk ya 90 1-1 hapo kipenga kinalia na wewe unaanza kulia mpaka magomeni mapipa bahati mbaya askari walinda amani hawatakuwepo.
 
Ulie ksa 800K?
 
Back
Top Bottom