Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,339
- 11,014
Kwakuwa maisha ni mapambano nmeamua kuwa afsa ubashiri na mtaji wangu wa karibia 800K, nakarbsha maoni yenu WAKUU.
nimecheka sana na hiyo title ya afisa ubashiriKwakuwa maisha ni mapambano nmeamua kuwa afsa ubashiri na mtaji wangu wa karibia 800K, nakarbsha maoni yenu WAKUU.
Tujiajiri kubetia jackpot ya sportpesa ile zipo bilions 2 pale mkuu mm nitakua assistant wako. 😁😁Kwakuwa maisha ni mapambano nmeamua kuwa afsa ubashiri na mtaji wangu wa karibia 800K, nakarbsha maoni yenu WAKUU.
Okay nini si uchangie
Asiwe tu na roho nyepesiOkay nini si uchangie
Kutokuwaje timamu?Ukitaka uwe mbashiri mzuri, hakikisha hauwi timamu utazifaidi hela za muhindi
Kila la kheri Mkuu
Fungua wewe genge mkuu kama linalipaHiyo pesa ungefungua genge mkuu upate rizki halalu hata kama kidogo.
NA ukiwa na subra na nidhamu ya pesa unafanikiwa kabisa.
Acha shobo ,wewe ndio umeleta huo uzi hapa jukwaani? Au una multiple Id umejisahau.Fungua wewe genge mkuu kama linalipa
Fungua genge wewe mkuu mbona hasira so unaona genge linalipa🤣🤣🤣🤣Acha shobo ,wewe ndio umeleta huo uzi hapa jukwaani? Au una multiple Id umejisahau.
🖕Fungua genge wewe mkuu mbona hasira so unaona genge linalipa🤣🤣🤣🤣