Rasmi nimeachana na mapenzi

Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu. Hakuna vita isiyo na sababu.

Kama wewe sio mjeuri basi kiburi. Badilika mkuu.
 
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu. Hakuna vita isiyo na sababu.

Kama wewe sio mjeuri basi kiburi. Badilika mkuu.
Wala mimi siyo kiburi mwenzangu ndiyo siyo muelewa
 
Safi
 
njoo PM chap
 
Mtekenyo ukianza utatafta mboo tuuu, lasivyo utajitia tango, usingo ni mbaya mno asikudanganye mtu
 
Kwa niliyoyaona kwenye mahusiano hakuna kitu nitashauri zaidi ya kukutakia Kila la kheri
 
Hapo vocha uloingilia hapa jamiiforum in this very minute kanunua mpenzi wako 🤣🤣🤣

Shenzi ukipata kingine Cha kuandika uje Ila huu ni utumboo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…