Rasmi nimeachana na mapenzi

Ki
Kipapatio chako kama kingewekewa luku ya tanesco nahisi Umeme toka ethiopia na sasa kuna mpango wa uranium kingetumia unit nyingi na makato mengi.
 
Noo usimwache
Ila pandisha thaman ya
1. Muda unauwekeza kwake, kama kujibu sms, kupatikana ,nk
2.utu! Acha kufanya vitu vinavyofeedhesha au kushusha utu wako


Rudi utoe mrejesho
 
Noo usimwache
Ila pandisha thaman ya
1. Muda unauwekeza kwake, kama kujibu sms, kupatikana ,nk
2.utu! Acha kufanya vitu vinavyofeedhesha au kushusha utu wako


Rudi utoe mrejesho
Asante mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia
Mlipokutana alikwambia utulie ama ulikuwa uamuzi wako? Ikiwa ni uamuzi wako ni haki yako kuubadili. Ila usimlaumu yeye kwa kushindwa kutulia, hajaamua kutulia na wewe iwe kiakili au vyovyote.
hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Kwa vile sasa haupo nae naomba namba yako. Nitumie PM😂😍

Kwa kauli hiyo inaelekea ulikuwa unagawa sana namba kwa vidume.😎
mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Unaomba msamaha kwa kosa gani? Aombae msamaha ana kosa.

Vitu vidogo kwa mfano kama vipi? Hebu tujulishe tukwambie ni vidogo kwa mwanaume au ni vikubwa. Vinaweza kuongeleka lakini vikawa havieleweki.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Mpaka lini sasa, haujaweka deadline.😎.

Siku ukitaka kuyarudia mapenzi na ukapata mpenzi tena utuulize kabla ya kuanza kubanjuana. Hii habari ya kuvurugwa na kuja kulalamika hapa usirudie tena maana mnapoanzana huwa hamsemi, ila mkivurugwa ndio mnasema.

BTW. Muda wa mapumziko ukiisha nipo nakusubiria😍
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…