kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Mweeee! Wee sii ulisema kuwa ni sista sasa mpenzi katokea wapi tena?Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Kasahau script 😁😂Mweeee! Wee sii ulisema kuwa ni sista sasa mpenzi katokea wapi tena?
I was joking🙄🥲Mweeee! Wee sii ulisema kuwa ni sista sasa mpenzi katokea wapi tena?
Sihitaji mtu kwasasajimbo limetangazwa kuwa wazi....
Nina huzuni ujue😫😫🎶 ...Oooh mapenzi kilioo, nenda waulize wenzio ni mdudu wa sikio akikung'ata husikii la yeyoteee...🎶
Hunijui acha hizo mkuuMapenzi au ngono? Mnabadilisha wanaume kila mara, mmekubuhu, mmekuwa useless. Kila mtu anajipimia awezavyo🚮
Love is good!
Ni kweli lakini mimi sikuwa kwenye ndoaMwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe.
Nadhani hakuwa wangu huyu Mungu atanipa mume mwemaUkiona vita kwenye mahusiano kuliko maelewano ujue huyo si wako! Mahusiano ni kuheshimiana, kupendana, kujaliana, chako chake, chake chako/ usiegemee upande mmoja
Bila kusahau wote kumwomba mwenyezi Mungu/Kuwa mnafanya ibada hakika mtafika mbali!
Wew nasikia una wengiDuh mbona mapema!
Umenijaribu mimi mkuu 🙂