Rasimu ya Samweli Sitta yalisambaratishia mbali taifa la Zanzibar

Rasimu ya Samweli Sitta yalisambaratishia mbali taifa la Zanzibar

Kwa wale waliopitia JKT, hasa enzi hizo, mlikuwa mnapewa magunia matatu ya mbegu za mahindi, mnaambiwa mkapande yaishe leo hii! Kinachofuata ni 'kutimiza lengo', YAISHE! Sasa wanachokifanya BMK ni kufikia lengo la kupatikana katiba. Ubora sio muhimu. Cha muhimu ifike siku, waite waandishi wa habari washuhudie wakimkabidhi Mheshimiwa rais kitu kinachoitwa katiba, sherehe kubwa, vigelegele, shangwe, pongezi! Kwa wanasiasa walio wengi hii huwa ni mafanikio tosha kwao, bila kujali ubora wa hicho anachoshangiliwa nacho.
 
Kwanza ni Upuuzi kudhani ni Sitta vs Warioba! Pili Mfumo wowote utakuwa wazi kwenu kesho...
Ukiwa mwenyekiti lazima ripoti iitwe kwa jina lako. Mfano unakumbuka Nyalali etc. Mweshimiwa jenga hoja baadala ya matusi.
 
Daima tutabaki kumkumbuka Warioba na UKAWA kwa mema waliyotutendea sisi watanzania. Lakini daima pia tutazidi kuwaalani Sitta na CCM kwa nuksi wanayotaka kutupa.
 
بيسششسي ىاسزء تغسئئ
تليءس يشزءي ابصثبؤ
لبسشيي اغصئنخفص
Mashaka makubwa haya.!!! andika tusome tuelewe wote.
 
inasesma ardhi ni mali ya umaa na itakuwa chini ya Rais wa jamhuri. Sasa lazima uelewe maana yake ni nini. Ingekuwa unavyosema basi makamu wa rais ndio wangekuwa waaimamizi.

Watajibeba mwaka huu. Serikali tatu ndio sahaihi

Tatizo muna haraka issue hii iko addresse... Ardhi YA Bara itakuwa chini YA RAIS wa Jamhuri, na YA Zanzibar chi YA RAIS wa Zanzibar... Kama unaona una issue... Sema makos a yake hapo...but that how it will be.

Sababu ni Ardhi sio jambo la Muungano.
 
بيسششسي ىاسزء تغسئئ
تليءس يشزءي ابصثبؤ
لبسشيي اغصئنخفص

Inshallah......umesomeka mkuu.
 
Kwanza fanya Mawasiliano na ofisi za TANESCO zilizo karibu nawe mdau matumbo joto

Ofisini kwangu kuna standby generator usihofu. Nataka nijue muda ili nifix ratiba zangu nione iyo katiba ya damu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa ratiba ya sasa ya BMK, Kamati ya Uandishi itawasilisha Bungeni Rasimu ya Katiba tarehe 22 Septemba 2014, Asubuhi. Sijui kama wataiweka kwenye tovuti yao au mpaka ufuatilie matangazo live. Na pia sijui wataisoma yote, mwanzo mpaka mwisho, au watatoa 'summary' tu.
 
Subiri Rasimu yenyewe wameshajibu yote haya! Among the issue ambalo wamewwapa waTZ Zanzibar wanachotaka ni kuwarudishia Rais wa Zanzibar umakamu....
Leta hapa tuijadili maana unaonekana unaijua
 
Tusubiri Rasimu ya tatu... Ila Nadhani atakuwepo; INGAWA sasa hataridhi kiti cha urais automatic, RAIS akikosa sifa za urais atakakmu only KWA ajili YA kuandaa Nchi Kwa uchaguzi Mkuu... within 90days...

Wanapopewa PM na RAIS wa zanzibar hadhi YA u makamu wa RAIS ni ili wamasaidie Rais wa Jamhuri Kwa mambo yanayohusu Muungano kwenye maeneo yao.

Kwa mfano siku raisi wa JMT akiwa mzanzibar ina maana yeye ndiye atakayeteua wakuu wa mikoa na wilaya huku bara? Mawaziri wa wizara zisizo za muungano, wakurugenzi na watendaji wengine wa Tanzania bara?
 
بيسششسي ىاسزء تغسئئ تليءس يشزءي ابصثبؤ لبسشيي اغصئنخفص
dua gani hiyo Mkuu? Albadir au muhalila?
 
بيسششسي ىاسزء تغسئئ
تليءس يشزءي ابصثبؤ
لبسشيي اغصئنخفص

unanena kwa lugha
 
Back
Top Bottom