G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,494
- 39,973
- Thread starter
- #41
kuna wakati nashindwa kuelewa watu uwa wanafikiri kwa kutumia nin kipengele cha rais wa znz kuwa makamu kilikuwepo kwenye katiba na ni hawa hawa wakina sita waliokiondoa 1995 baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza ilibidi kitolewe kutokana na hali ya mfumo huo na mwl alilisimamia hili, na sababu kubwa ilikuwa pale nchi2 zinapokuwa zinaongozwa na vyama tofautiinaweza ikaleta tatizoingawa c raisi kuona kwa haraka
Mkuu, CCM wao akilini mwao kitu kushindwq urais hakipo! wanadhani kuwa wana hati miliki ya nchi hii...Hili la rais wa Zanzibar kuwa makamu wa muungano ni swala la kikatiba kama hiyo bora rasimu itapita hivyo itabidi ailinde na kuitii...Mimi nilichojiuliza ataapa kwa hii katiba na au ni ile ya Zanzibar? yani ni mkanganyiko na hasa hapo vitakapoongoza vyama viwili tofauti!