Unaweza kuna na jambo la maana la kujadili lakini tumia Kiswahili kwa sababu neno "diversify" hapo juu halina maana uliyokusudia. You seem to have serious issues with the Queen's lingua franca. Look at your third phrase, just too out of conventional thinking.
Ninangojea niipate rasimu na kuisoma niilewe vizuri. Lakini kabla ya hapo, nimefurahishwa na tume kupendekeza katika nchi hizi mbili zilizoungana, kila nchi iwe na serikali yake. Tanganyika (sio Tanzania Bara) na Zanzibar. Kutokana na hilo, je kila nchi itakuwa na Raisi wake? Je kiongozi wa kusimamia masuala yale saba yaliyowekwa kuwa ndio masuala pekee ya Muungano, naye ataitwa Rais? Je katiba ya kushughulikia yale masuala saba ya Muungano ndio hiyo inayojadiliwa sasa? Je kama kila nchi itakuwa na katiba yake, mamlaka ya katiba ya muungano yanaishia kwenye yale masuala saba ya muungano na sio vinginevyo? Ninapata kigugumizi sana kwa hili.
Hapo in bold unataka kukoleza story yako tu. Mbona sisi hatukuona hivo? He was relaxed na alisema alipoulizwa kama atagombea ubunge jimboni kwake, au kama kuna uwezekano wa kugombea Tanzania Bara alijibu tu "hapana, sitagombea" (On his twitter acc). Huko kununa wewe uliona wapi?Jana wakati jaji warioba anawasilisha hotuba yake kwa wananchi kuhusu rasimu ya katiba mpya, alipofika kwnye kipengele cha umri unaofaa kugombea urais na kutaja kuwa tume inapendekeza umri ubakie kama ulivyo hivi sasa wa miaka 40, zitto kabwe, mbunge wa kigoma kaskazini, naibu katibu mkuu wa chadema nusura alie..alinuna, akakunja uso na mbaya zaidi kamera ya tv ilimmulika na kuonekana na taifa zima lililokuwa likifuatilia tukio hilo..
my take: katiba mpya ni mwanzo wa mwisho wa zitto kisiasa? Mana alisema hatgombea tena ubunge hope alikuwa na malengo flani
Ninangojea niipate rasimu na kuisoma niilewe vizuri. Lakini kabla ya hapo, nimefurahishwa na tume kupendekeza katika nchi hizi mbili zilizoungana, kila nchi iwe na serikali yake. Tanganyika (sio Tanzania Bara) na Zanzibar. Kutokana na hilo, je kila nchi itakuwa na Raisi wake? Je kiongozi wa kusimamia masuala yale saba yaliyowekwa kuwa ndio masuala pekee ya Muungano, naye ataitwa Rais? Je katiba ya kushughulikia yale masuala saba ya Muungano ndio hiyo inayojadiliwa sasa? Je kama kila nchi itakuwa na katiba yake, mamlaka ya katiba ya muungano yanaishia kwenye yale masuala saba ya muungano na sio vinginevyo? Ninapata kigugumizi sana kwa hili.
Viongozi wakuu wa nchi za Tanganyika na Zanzibar wataitwa MAGAVANA.Rais atakuwa mmoja tu naye ni ni RAIS SHIRIKISHO i.e JMTNinangojea niipate rasimu na kuisoma niilewe vizuri. Lakini kabla ya hapo, nimefurahishwa na tume kupendekeza katika nchi hizi mbili zilizoungana, kila nchi iwe na serikali yake. Tanganyika (sio Tanzania Bara) na Zanzibar. Kutokana na hilo, je kila nchi itakuwa na Raisi wake? Je kiongozi wa kusimamia masuala yale saba yaliyowekwa kuwa ndio masuala pekee ya Muungano, naye ataitwa Rais? Je katiba ya kushughulikia yale masuala saba ya Muungano ndio hiyo inayojadiliwa sasa? Je kama kila nchi itakuwa na katiba yake, mamlaka ya katiba ya muungano yanaishia kwenye yale masuala saba ya muungano na sio vinginevyo? Ninapata kigugumizi sana kwa hili.