William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Huyu jamaa alikuwa London, afisa ubalozi yaani agent wa kawaida wa usalama pale, sasa nilishawahi kumuongelea kule BCS, kwani kazi yake kubwa ilikuwa kumfixia mzee JK, vimwana pale,
recently list ilikwenda down to kati yake na mzee mmoja yuko Zaire, ambaye ni kabila la mzee, kwa hiyo tulitegemea kuwa ndiye angeingia, kwa kweli baada ya uchaguzi huu, nimenyoosha mikono na mzee wangu JK!
Huyu ndiye jaamaa aliyekuwa akifanya kazi ya ziada na mzee Salva Rweyemamu kumuondoa Kibello, pale London. Zile kelele zote za magazeti juu ya Kibello na habari za mfanyakazi wake wa ndani zilikuwa zinakuwa engeneeered na huyu jamaa, akishirikiana na mama mmoja pale ubalozini London anayeitwa Amina(mdogo wa mama Migiro), jamani!
Mungu aibariki Bongo, kama kweli huyu kijana Othumani anaweza kuchukua nafasi ya Abson! Sina nguvu tena!
Wana wa JF bwana . Mna maajabu .Haya mimi na ES tuliyasema zamani kabisa .ES waletee ile thread ya Mkuu huyu kuwa Mkuu wa usalama wa Nchi .Wengi wageni hapa naona .
Wazee Jasusi na Mafuchila,
Huyo mwanamama alipokuwa Mlimani alikuwa akijiita Amina Mtengeti, sasa hivi hujiita Radhia Msuya, pia naye hujimwaga na mzee!, maana safari kibao za London mzee akiwa waziri, alikuwa akipotea airport na kutoonekana hata kwa siku mbili na kuwaacha mafisa wa ubalozi na wajumbe aliofuatana nao wakiwa wanahaha!, waziri yuko wapi! waziri yukowapi!
mzee una data si mchezo.yote ni kweli.Huyu jamaa alikuwa London, afisa ubalozi yaani agent wa kawaida wa usalama pale, sasa nilishawahi kumuongelea kule BCS, kwani kazi yake kubwa ilikuwa kumfixia mzee JK, vimwana pale,
recently list ilikwenda down to kati yake na mzee mmoja yuko Zaire, ambaye ni kabila la mzee, kwa hiyo tulitegemea kuwa ndiye angeingia, kwa kweli baada ya uchaguzi huu, nimenyoosha mikono na mzee wangu JK!
Huyu ndiye jaamaa aliyekuwa akifanya kazi ya ziada na mzee Salva Rweyemamu kumuondoa Kibello, pale London. Zile kelele zote za magazeti juu ya Kibello na habari za mfanyakazi wake wa ndani zilikuwa zinakuwa engeneeered na huyu jamaa, akishirikiana na mama mmoja pale ubalozini London anayeitwa Amina(mdogo wa mama Migiro), jamani!
Mungu aibariki Bongo, kama kweli huyu kijana Othumani anaweza kuchukua nafasi ya Abson! Sina nguvu tena!
Field Marshal ES said:Wazee Jasusi na Mafuchila,
Huyo mwanamama alipokuwa Mlimani alikuwa akijiita Amina Mtengeti, sasa hivi hujiita Radhia Msuya, pia naye hujimwaga na mzee!, maana safari kibao za London mzee akiwa waziri, alikuwa akipotea airport na kutoonekana hata kwa siku mbili na kuwaacha mafisa wa ubalozi na wajumbe aliofuatana nao wakiwa wanahaha!, waziri yuko wapi! waziri yukowapi!
- Wasaalam wakulu, woow! hii thread imenikumbusha mbali sana yaani tulikotoka na taifa letu katika siasa za Blogs, what can I say? Ingawa kwa kifupi tu ni kwamba:-
1. RO ni victim wa our ugly political system, leo knowing what I know kuhusu uchapaji wake wa kazi na masilahi ya taifa, ni he is fair, isipokuwa sio siri sasa kwamba aliyempendekeza kupewa nafasi hakuwa na nia njema na taifa. As the results, amemfunika sana RO na kumfanya kushindwa kufanya kazi kwa 100%, kama ambavyo angependa kwa sababu mpaka leo the dataz ni kwamba aliyempendekeza bado anaendelea ku-function kwa 80%, huku akiwa nje ya system, na tatizo kubwa kuliko ni kwamba aliyeko juu haeleweki vizuri msimamo wake kwa hiyo RO ni lazima a-adjust carefully kulingana na msimamo wa aliye juu!
- Otherwise, RO ameweza ku-transform na ku-fit in huko uwt na kuweza kukubalika bila matatizo, for that ninampa respect!
2. Balozi Radhia, ni mshikaji wangu sana na ninampa heshima pia kuweza kufanya adjustments nyingi muhimu on the personal level na sasa anachapa kazi inavyotakiwa. Ameweza ku-calm down na kuweza kuimudu nafasi na pia kujiwekea heshima kikazi, halafu kwa kua bosi pale ananyemelea Ikulu, ninaamini Radhia ni Waziri mtarajiwa wa hii wizara.
As far as impact ya hawa wakulu katika uongozi mbovu tulionao hili taifa sasa hivi, kwa kweli ni ndogo sana kuwajadili as washiriki at this point and moment ni kuwaonea bure tu, and hapa I wash my hands!
Respect.
FMeS!

Kama pilika pilika za siasa zinakwenda kwa mtindo huu wa sasa....Na Bwana Membe akibahatika kuupata Ukuu wa Nchi basi Balozi Radhia ana nafasi pengine kubwa kuliko hiyo uliyotabiri......Siku nzima nimekuwa nasoma Thread hii...asilimia kubwa ya mambo yaliyosemwa ile 2006 yanaonekana leo.
.Mkuu, I always salute you. Kwa sababu you are always ready to admit where you went wrong. Kwa RO et al...nadhani, mimi with due respect..sijaona utendaji wake wa kazi..what exactly has he done mkuu? wizi na ufisadi wooote unatokea under his watch and he is just happy and content to protect criminals. Sasa kamanda wangu..unadhani huyu anatufaa kweli? Lets be honesty bwana..dont apologize where you dont have to. Hawa jamaa kama taifa letu hawajatusaidia lolote..they are just there to protect status quo za wanene..
- Mkuu again uko right na sina cha kupunguza wala kuongeza isipokuwa, Mama Migiro ni another story of its own, kazi aliyonayo ni kubwa sana ya kuongoza dunia kwamba sio rahisi in the process kuwa effective locally yaani on Tanzania's side, lakini binafsi ninamuaminia sana na ninaamini kwamba akiamua kuchukua fomu ya urais basi anaweza kutusaidia sana taifa kwa sababu ni muwajibikaji sana waulize foreign ambako najua kwamba una mizizi mizito sana huko wanajua kali yake, nasikia alipoondoka kuna waliofanya party ya kushukuru maana hakuwa na mchezo.Personally, nikiangalia hapa..watu wanaongelea akina Membe, Migiro nk..lakini hebu mkulu..niambia hawa watu..wamefanya kitu gani BOLD kumkomboa mwananchi wa kawaida jamani? zaidi ya kulinda status quo za wanene wenzao? You guys..we need to learn..ni viongozi wepi tunawataka..infact mimi ningesema..we need some new poeple..ambao hata kama hatuwajui..they have something to offer on the table.
I honestly cant judge mama Migiro-not now..lakini kama kweli anataka siku moja aje kuiomba nafasi ya kutuongoza..she must do more. Hata huko UN..awasaidie wabongo (on merit, wenye ujuzi na elimu zao) Otherwise..hatuwezi kuwa tunavote majina na vyeo vya watu..we need to see some actions. They must prove themselves kwamba they are not taking us for granted.
FMES, surely you dont expect me to campaign and vote for mama Migiro simply because alikuwa DSG! We need her to make some hard decisions...
FMES,
Mkuu asahte sana kuifufua hii thread. Duh! Kweli tumetoka mbali yaani nimesoma kama vile naisoma mara ya kwanza. Masanja, nakubaliana na points zako zote.
FMES, kuna tetesi nilizisikia nilipokuwa Dar kuwa RO alikuwa anatayarisha ripoti mbili za briefing moja kwa mkulu na nyingine kwa EL. Sasa Mkulu akapata habari akamwita na kumwuliza nchi hii ina viongozi wangapi? Ulizisikia?