Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

Status
Not open for further replies.
Kivuli waeleze hao wanaojidai watoto wa mjini. Hoja zao zimeisha sasa wanajidai kufunga mjadala.....mbana ndio kwanza kumekucha?




 
Mzee Es
You have many strong sides; but it was also important to know the other side of you.

It is far better to concentrate on your stronger side and fight using those weapons. Bila shaka umenipata vilivyo.
 
Mzee Invincible,

Heshima yako mkuu!, nimekusikia mkuu I am a politician na nimefanya kazi za uchaguzi na kambi mbali mbali, na ni moja ya fani nilizozisoma katika Political Science, na Criminology, how to deal na mass, pamoja na Criminal Minds,

Behind matusi ya kijana, kulikuwa na honesty cry ambayo nisingeweza kui-Ignore, na mimi ni binadamu pia ndio siasa lakini saa ya kulala tuna-Mface muumba wetu, na toka nianze na hizi forum hii ni mara ya pili someone has touched my nerves, mara ya kwanza ilikuwa ni yule Waziri Kivuli kule Kumekucha, ambaye pia naye niliiona hii honesty cry,

Now back to business, yaani that is all, lakini mengine yote yanasimama pale pale, ila tu siwezi kuendelea ninaamini message imefika tena effectively to the top, ndio hasa nia na madhumuni ya hii forum!

Wasaalam! Es!
 
Naona watu mnaweweseka na sam hamlali, maneno yote uliyoongea juu ya sam hakuna hata moja ambalo amesema, eti nataka kumnunulia vyeti Sumaye. Mungu akusaidie. Hivi ile topic ya Nchimbi kule BCS aliyeisimamia alikuwa nani? Na mchimbi ni muhumini wa hiyo so called dini yenu? Acha kuongea pumba mzee andika mambo ya maana. Ni wapi mimi nimesma Kivuli aondolewa? Soma post zangu za jana, mimi si nilisema nakaa pembeni niwachieni muandike pumba. We weweseke tu na sam.
 
Wanabodi ,

Nimesoma message nyingi za huyu bwana anayejiita kivuli na kusema nadhani ni Psycho pad, huyu mtu anahitaji msaada jamani ! Kukaa Kariakoo sio kuwa mtoto mjini na kuishi Dar es Salaam aimaanishi ya kuwa wewe ndio mjanja . Mtu mwenye akili timamu anatakiwa fikiri anabenefit nini toka sehemu anayoishi.

Unajua hii platform ni sehemu nzuri sana ya kubadilishana mawazo, tofauti na bwana kivuli anavyoitumia katika kuexpose level ya ujinga wake.
 
Ndio maana Mwalimu Nyerere hakuzaliwa Msimbazi, maana amasivyo tungeongozwa na masikani ya Saigoni, na papaaaaaaaaaaaa O Wembaaaaa!, Mzee Sam kumbuka ile sentesi moja tu inayomaliza ubishi na huyu kijana, ".....mimi Sam na Es tufukuzwe humu.....", ndiyo iliyonifanya nielewe kuwa hawa waliotumwa wamepewa orders tofauti na huyu amepewa order ya kutu-provoke ili tutoke humu au tubadili majina, ila kumbuka who si behind hiyo strategy, kama ni kijana na wenziwe uwezo ni mdogo kama anayewatuma kama tulivyosema, si ukweli unajisema hapa,

wewe mambo ya masikani na Saigoni ukiyaleta humu si unajua kuwa ina maana hata huelewi maana ya INTERNET, kuwa inasomwa na dunia nzima, wewe unafikiri inasomwa Saigoni na Masikani tu!, halafu hujui kuwa watu babu kubwa hapa bongo kama kina Salim, na Jk mwenyewe na wengineo huwawanaishi Obey na sio masikani au Saigon,

Kijana ninarudia kuwa viongozi wengi ninaowaongelea ni marafiki wa karibu, na ninataka kuamini kuwa na wewe na Othman ni marafiki wa karibu, kwa hiyo ndio maana tumekupa uwanja utukane uwezavyo maana si unatuletea wanayokutuma kusema haooo kina Papaaaaaa!
 
Hii hukuandika wewe kijana sisi sio wajinga kiasi hicho!, Look ilikuwa RO sasa ni UDINI, wapi na wapi? Unataka nini kijana tukusaidie?
 
Kivuli,

kwanini unaendelea kuexpose uwezo wako mdogo wa kufikiri , Vitu unavyozungumzia avimake sense kabisa !
 
Kivuli wa kitumbini,
Si kweli wewe ni mtoto mdogo, lazima una umri wa zaidi ya miaka hamsini na kuendelea, maana yote uliyoyataja ni ambayo vijana kama SAM hawawezi kuyajua kwa sababu ni watoto wadogo. Ungesoma kwa muda mrefu kidogo hizi thread hungekurupuka na kuanza kutukanana na watoto wadogo! Sasa wewe mzee mzima kuandika yote hayo mbona umejizalilisha sana. Misheni kota, wema abdallah, western jazz, yote hayo yanamhusu nini mtanzania wa leo? Unaleta mambo ya miaka ya sitini na ya 47 leo babuu?
Toa point achana na ujinga! Mara uislamu mara mikristu; kama wewe muislamu halisi kwa nini usiende ukaishi Saudi Arabia na sasa uko ulaya? Hebu acha hayo! Wewe lazima ni mzee sasa hivi umri kama akina Tostao, Chama uliowataja taja sana. Please stop ranting!
 
Niko safarini ilibidi niende Vatican kutubu baada ya tafrani na kaka zangu.

Ndugu zangu hii topic imepoteza mwelekeo. Hawa akina kivuli et.a l tuwaachie tukubali kushindwa ili wao watese! mnaumiza vichwa vyenu bureee!

Data za RO na wengine mmeisha toa zinatosha.

Tujadili topic nyingine ili heshima ya forum hii iendelee. Haya ni mawazo yangu samahani kama nitawaudhi!
 
Hivi mnataka atoe mifano mingapi? Au fakts ngapi? Umri wake sio issue hapa hata kama yeye ni mzee wa kutupa lakini fakts ziko pale pale: uzushi na uongo tuache. kuparamia watu bila facts tuache. mna paramia watu bila kua na info kamili ni kutafuta umbeya. Wewe unatafuta data za mku wa usalamaa wa nchi unazitakia nini? Uziweke wazi? kwa nani? na kwa misingi gani? Yule kateuliwa hakupigiwa kura na kila raisi anateuwa watu anaetaka kwani haya ni makosa? Labda ni kwa sababu ni muisilamu na wengine humundani hawapendi?

Kwani waislamu wako saudia tu? Kwanini unataka kuleta kuto kuelewana kwa wananchi? Wote sie ni ndugu na katika jamii yetu kuna waislamu na wakiristo sasa hii kushambulia mtu kwa sababu anasikitika kuona mwenendo wenu wa kutaka kuwakorofisha watu kwa sababu ya dini zao imetoka wapi? Jamani tuzungumzie jinsi ya kuendeleza Tanzania, jinsi tutavyo ondoa umasikini wa hali na mali, jinsi Tanzania iwezekuendelea na amani na watu kupendana na kujenga uhusiano mwema? Hizi fikira duni lazima tuepukane nazo.

Hii yote inatokana na jinsi sie tunavyo Interrelate na interconnect badala ya kuwa focused kwenye mambo yanayo leta manufaa sie tunakwenda na kuangalia mambo binafsi ya watu, dini zao nakadhalika sasa hii itatupeleka wapi, halafu sio hivyo tu tunazusha uongo.

Ranting? WHo is ranting here. Mie si support matusi kutoka kwa mtu yeyote, kama nisivyo kubali uzushi na character assisination.

 
Adminstrator!

To me it appears that the whole issue about RO has been exhausted, why not close this topic?
 

Ni Miaka mitatu sasa tangu, hii thread iwekwe, mabadiliko tuliyoyaona badala ya kuwa mazuri inaonekana yameidhoofisha TISS na kuifanya iwe less efficent na kuwa kama obsolete!
 
Hii mada iko hapa ili watu waanza kujua tulikotoka. Mada hii ilianza pale RO alipoteuliwa kuongoza idara ya Usalama wa Taifa. Ile ya Kujiuzulu ni kama mwendelezo wa mada hii. Kwa wale wanaotaka background ya nini kilisemwa basi ni vizuri kuanzia na mada hii na utajua the main players wa mada ya "kujiuzulu".
 

Field Marshall ES, mwenzio niko gizani hapo nilipo koleza wino mwekundu (denja) naomba hata kwa PM nipe full story. Nisamehe kwa kukusumbua kwa hilo.
 

Ni sawa na yeye JK kuhutubia na kisha kujipigia makofi yeye mwenyewe mahala ambapo wala hakuna point.
 
Wakuu Bubu Msemaovyo na ES.

Mnajua baada ya Kibelo kuondolewa pale ubalozi London palikuwa na mjadala mkali kwamba ni sababu zipi zaidi ya zilizokuwa zmesemwa hasa zilimtoa hapo.

Mzee Kibelo anajulikana kwamba amesoma na ni diplomat mzoefu, ni "multi-lingua" na aliwahi kufanza kazi na mheshimiwa mkuu wa kaya pale mambo ya nje.

Lakini nafikiri kwa manufaa yao wana mtandao ambayo wanayajua wenyewe, London ndio kitovu cha mambo yote ya kujadili na kupanga kwa hio kuwa na watu ambao watakuwa ni kikwazo katika matumizi(kwa mfano kama ya paundi 600,000) yanayodaiwa yamefanzwa na mama Majaliwa inabidi waondolewe.

Kwa hio ili kuondoa uwezekano wa mgosi Kibelo ku-react kwa mtindo wa kumwaga "dossier" kuhusu mtu au watu ambao anadhani wameamua kumtoa kwa mbinu za kitoto pale London, ikabidi ku-compromise na ubalozi wa Ufaransa.

Lakini ukweli ni kwamba mgosi Kibelo na mkuu wa kaya ni wahasimu wakubwa na kila mtu ana file la mwenzake ingawa inategemea ni lipi lina uzito ambapo inaonekana ni lile la mgosi Kibelo.
 

I Love JF!!!

Yani hiyo post hapo juu imenifunua na nimefanikiwa kuunganisha dots sasa inaanza kumake sense.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…