- Mkulu Masanja, salute ndugu yangu unajua sisi tulisema toka mwanzo kwamba wa-Tanzania tumepotea step sana na hii awamu ya nne, tukatukanwa wee, tukaitwa majina yote machafu huko duniani,
- Ninakumbuka jinsi karibu forum nzima ya BCS ikimshangilia Muungwana kwamba taifa letu linahitaji kijana kama yeye, ninashukuru kwamba wananchi sasa wanaweza kuyasoma tuliyosema then na kujumlisha kwa nini tupo hapa tulipo, ukweli ni kwamba tuliyataka wenyewe!
Respect.
FMes!
Mag3,
Ungekuwa karibu ningekununulia krate ya bia. You just made my day!
Mag3,Mkuu asante lakini ninavyosononeka hapa, hata hiyo beer sijui kama ingesaidia - labda crate ya vodka. Masikini Tanzania, hawa watu tunawatoa wapi ?
Mkuu asante lakini ninavyosononeka hapa, hata hiyo beer sijui kama ingesaidia - labda crate ya vodka. Masikini Tanzania, hawa watu tunawatoa wapi ?
Mkuu, I always salute you. Kwa sababu you are always ready to admit where you went wrong. Kwa RO et al...nadhani, mimi with due respect..sijaona utendaji wake wa kazi..what exactly has he done mkuu? wizi na ufisadi wooote unatokea under his watch and he is just happy and content to protect criminals. Sasa kamanda wangu..unadhani huyu anatufaa kweli? Lets be honesty bwana..dont apologize where you dont have to. Hawa jamaa kama taifa letu hawajatusaidia lolote..they are just there to protect status quo za wanene...
Personally, nikiangalia hapa..watu wanaongelea akina Membe, Migiro nk..lakini hebu mkulu..niambia hawa watu..wamefanya kitu gani BOLD kumkomboa mwananchi wa kawaida jamani? zaidi ya kulinda status quo za wanene wenzao? You guys..we need to learn..ni viongozi wepi tunawataka..infact mimi ningesema..we need some new poeple..ambao hata kama hatuwajui..they have something to offer on the table.
I honestly cant judge mama Migiro-not now..lakini kama kweli anataka siku moja aje kuiomba nafasi ya kutuongoza..she must do more. Hata huko UN..awasaidie wabongo (on merit, wenye ujuzi na elimu zao) Otherwise..hatuwezi kuwa tunavote majina na vyeo vya watu..we need to see some actions. They must prove themselves kwamba they are not taking us for granted.
FMES, surely you dont expect me to campaign and vote for mama Migiro simply because alikuwa DSG! We need her to make some hard decisions...
Lastly I say: Stupidity is the art of doing same thing over and over again expecting different results.
GT,
Mbona hujaweka element ya UWT kutekwa na mafisadi?
-
- Ninakumbuka jinsi karibu forum nzima ya BCS ikimshangilia Muungwana kwamba taifa letu linahitaji kijana kama yeye, ninashukuru kwamba wananchi sasa wanaweza kuyasoma tuliyosema then na kujumlisha kwa nini tupo hapa tulipo, ukweli ni kwamba tuliyataka wenyewe!
Respect.
FMes!
Mkuu game theory
Umedokeza mengi makubwa. Naina ni kuwa Tanzania ililewa sana na sifa ilizopata wakati wa vita vya ukombozi. Ysystems karibu zote zilikuwa effective na fairly operational.
Sasa hivi ni vigumu sana kujua usalama wa taifa wanafanya nini. Kama central bank inaweza kuingiliwa na wezi, you can ask yourself what the heck is going on in there.
Ukiangalia kwanza hali ya usalama wa capital hairidhishi hata kidogo, waliosalama ni viongozi na matajiri, sisi wengine usalama wetu unatokana na kudra ya mwenyezi mungu.
Ukiangalia kwa undani utaona kuwa kuna individuals wameadvance sana kulko officers wa UWT, wana capabilities za kugather, kuprocess na kunanalyse information kuliko hata watu wa UWT, hata kwenye mambo yanayohitaji common sense. Then you can ask yourself why is it so.
Ukiangalia cabinet iliyopo sasa, na ukiangalia RC, DCs na wengine kwenye vituo muhimu vya kazi you may wonder, watu wa uslama walikuwa wapi kuacha watu hawa wanafika huko? Kwenye ubunge ndio usiseme, ni kama uslama wameshindwa ku-screen nani anaweza kuwa mbunge na nani hawezi kuwa.
Siku hizi wenzetu hawatumii uslama wa taifa kulinda borders au kulinda viongozi, wanatumia resoueces hizo kuleta maendeleo ya kiuchumi, technologies na vitu alike, lakini ukiuluza UWT ya kwetu kweli utaona kuwa wanaply by the book of Paul Sozigwa, typical mambo ya cold war na kutoa ulinzi kwa viogozi na sio kwa taifa.
Kunahitajika overhaul ya hali ya juu sana, ili tuwe na UWA inayweza kuifikisha Tanzania inapotakiwa, kuirudisha Tanzania kwenye rightful position East Africa, Afrika na hata dunia, That can be done, kinachohitajika zaidi ni political will. Ningependa jamaa wasiwe branch ya Ikulu, wawe na nguvu, huru, na meno ya kufanya kazi sio kama sasa.
Hata RO pamoja na uwezo wake na experience yake kwenye kazi, anaonekana hopeless kutokana na ubovu wa system, a change is needed.