Reply yako imeniacha na maswali mengi kuanzia uandishi, aina ya lugha uliyotumia mpaka mafanikioMimi nimesoma kwa Ras simba Mwaka 2015 ,alinitoa kwenye Giza Nene .Ras simba anafundisha mfumo wa man tu man,anawalimu wengi kila mwanafunzi anakuwa na mwalimu wake kwa kila unit,ukitaka kwenda unit nyingine lazima upass mtiani,walimu wake Wana uvumilivu wa hari ya huu sana wanaweza kukufundisha unit moja hata mara kumi ilimradi mwanafunzi anafauli akuna kupitishana mpaka aelewe,kingine kama mwanafunzi anakichwa ngumu anapewa special class yani kama kalipia Laki 2,anaongeze laki moja anasoma darasa la muda mrefu mpaka miezi 6,
Kwa upande Wangu amenisaidia sana kwa nilipata Kazi ya kufundisha English Chuo cha veta ,nilijaribu kujilinganisha na mwalimu wa English hawanifiki hata kidogo,Pili nilifanikiwa kupata job Japan ,kwa sasa nipo Japan nikirudi bongo lazima nimtafute
Mara nyingi watu kama wewe ndio mnao amini et Rasta ni uhuni. Yakupasa ufungue fikra zako kutoka katika utumwa wa fikra...
Nadhani atakuwa ndie ras simba mwenyewe huyuReply yako imeniacha na maswali mengi kuanzia uandishi, aina ya lugha uliyotumia mpaka mafanikio
Hii ni reply yako ya pili tangu ujiunge JF mwaka 2014 bado nazidi kuwa na maswali
Dalali hana mipaka.Kinachokera radio za kidini ndio zinarusha haya matangazo
Yaani mwanzoni aliona hawafikii wengi akaenda mpk huko sasa najiuliza hivi wanaopokea matangazo kabla ya kuyarusha huwa wanajiridhisha [emoji13] [emoji12]Kinachokera radio za kidini ndio zinarusha haya matangazo
Umeniongelea hapo nasu[emoji144]Waliosoma kwa Ras watupe ushuhuda, nina mpango wa kwenda.
Hahaha ....kaja kurusha mateke ...Reply yako imeniacha na maswali mengi kuanzia uandishi, aina ya lugha uliyotumia mpaka mafanikio
Hii ni reply yako ya pili tangu ujiunge JF mwaka 2014 bado nazidi kuwa na maswali
Hahahaa 'frent poj 'Haa Ras Simba Ni Mjanjamjanja Kama Janjajanja Primary School
Hivi Mh Mnyaa Siku Alipoomba Kura Kwenye Bunge La East Africa Pale Mwisho Alikikoroga Kuliko Hata Ras Simba.
Na Yule Aliyesema Frent Foji
Huyu Habari Zake Zimeizuiliwa Ila Kwanini Mnaziweka Frent Foji
Mimi nilikuwa mwanafunzi wake ,amenisaidia sana ,Ras simba ni zaidi ya British council .kuna wanafunzi wa British council walishindwa kuongea na kuandika kingereza fasaha laki kwa Ras simba they speak fluently, jamani Mimi nilikuwa sijui kingereza hata kidogo nimejifunza kwa Ras Simba.Ras simba halikataa kuajiliwa British council, Jamaa yupo nondo na njia anazotumia ni sahihi mno,mfano Musa ameondoka muda sasa hivi,wakati uliopo mtimilifu kwa kingereza we write like that we start with subject + helping verb has/have + verb in past particles = Musa has gone recently.kama unabisha niulize swali lolote la kingereza nikuelekeze kwa muujibu wa Ras simbaNadhani atakuwa ndie ras simba mwenyewe huyu