Ras simba tuhurumie

Hahahahaha, kwan hamkujua kua hyo n commercial language? Kwan anauwezo wa kumuwekea mtu akili mpya?
 
Atakuja kuangukia pua kama yule Dr.....flani...feki....ww subiri uone
 
mwambie mzee aende akapigwe brash
 
Uko sahihi ndugu lkn kusema wachaga co sahihi.. njaa au usanii hauna kabila
 
Hizi redio za kidini zimeongezeka na matangazo ya wapiga dili woote ndio wanapitishia huko hasa wale wa SANITARIUM CLINIC na ka compyuta chao cha magumashi eti kanaangalia magojwa yote mwili mzima.
 
Muongo wa kupindukia huyo jamaa.
 
Tanganyika ya wadanganyika.Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Kwa kweli jamaa ana matangazo mengi sana. Ila kitu cha kujiuliza ni kwa nini uwa hasikiki redioni au kuonekana live kwenye TV akihojiwa na watangazaji mahiri kwa kiingereza ili watu wapate imani zaidi na uwezo wake wa kuongea kiingereza? Yaani jamaa uwa anaishia tu kupeleka vipeperushi vya matangazo ili vikasomwe kwa kiswahili.
 
Ambiere Mshana!!!Tusimlalamikie sana Ras Simba tuilalamikie zaidi serikali amabyo vyombo vyake viko kimya wakati wananchi wanadhulumiwa.Ras Simba ana matawi Kilosa,Morogoro,Dumila Turiani na mfundishaji ni yeye.
Pia Mshana angalia upande wa afya kuna watu wanapita na vi laptop wanachunguza afya za watu hata CT scan haifikii,wananchi wanadhulumiwa.Mamlaka za uratibu ziko wapi?
 
Mamlaka zinakula ten percent ndio maana zinavaa miwani myeusi ya mbao
 
Mimi nimesoma kwa Ras simba Mwaka 2015 ,alinitoa kwenye Giza Nene .Ras simba anafundisha mfumo wa man tu man,anawalimu wengi kila mwanafunzi anakuwa na mwalimu wake kwa kila unit,ukitaka kwenda unit nyingine lazima upass mtiani,walimu wake Wana uvumilivu wa hari ya huu sana wanaweza kukufundisha unit moja hata mara kumi ilimradi mwanafunzi anafauli akuna kupitishana mpaka aelewe,kingine kama mwanafunzi anakichwa ngumu anapewa special class yani kama kalipia Laki 2,anaongeze laki moja anasoma darasa la muda mrefu mpaka miezi 6,
Kwa upande Wangu amenisaidia sana kwa nilipata Kazi ya kufundisha English Chuo cha veta ,nilijaribu kujilinganisha na mwalimu wa English hawanifiki hata kidogo,Pili nilifanikiwa kupata job Japan ,kwa sasa nipo Japan nikirudi bongo lazima nimtafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…