Rap ya huyu bibi imenifurahisha sana

Rap ya huyu bibi imenifurahisha sana

kabadilisha tena. amesema udownload. mwenzio natumia kasimu ka mchina. hebu msikilize halafu uniandikie hapa mistali yake niitathimini. over
mi secretary wako?
 
mi secretary wako?

mkuu wewe una access kuliko mimi. nisaidie mwenzio...!!. Kumbuka wewe ni memba mwenzangu kuna siku utakwama na mimi nikakusaidia, p'se bebii. over
 
mkuu wewe una access kuliko mimi. nisaidie mwenzio...!!. Kumbuka wewe ni memba mwenzangu kuna siku utakwama na mimi nikakusaidia, p'se bebii. over
mmmh sidanganyiki mie weee msaada gani jf mmmh mmmh muombe invisible akuambie anasemaje mimi wala sijaplay
 
Back
Top Bottom