K Kamundu Platinum Member Nov 22, 2006 6,609 8,749 Jul 29, 2019 #1 Ukurasa wa 29. Tanzania 153 kati ya nchi 156 tujiulize kwanini Kenya 121, Uganda 136, Rwanda 152. Yaani EA wote tuko vibaya https://s3.amazonaws.com/happiness-report/2019/WHR19.pdf
Ukurasa wa 29. Tanzania 153 kati ya nchi 156 tujiulize kwanini Kenya 121, Uganda 136, Rwanda 152. Yaani EA wote tuko vibaya https://s3.amazonaws.com/happiness-report/2019/WHR19.pdf
Bonde la Baraka JF-Expert Member Sep 22, 2016 4,580 7,938 Jul 29, 2019 #2 Wananchi watajawa vipi na furaha huku viongozi wao ndio katiba?
Mzembe flani Senior Member Jul 1, 2019 190 208 Jul 29, 2019 #3 wanazingatia vigezo gan kwanza!??, tuanzie hapo.