Rangi za nguo za ndani.

hazijawai kunifanya kitu dear maana sijawai kuzivaa..ila naona wanaozifaa kila siku shida mafangasi ,uti,mirija ya uzazi kuziba..k kukosa utamu nk
ila kwa sisi k free zone raha tupu
Harafu nashangaa wengine hata kulala wanataka walale na chupi! kha!!
 
kawaida mwanamke anapaswa kuvaa nguo yeyote lakini haipendezi akivaa nyeusi kwani nguo nyeusi huficha uchafu, ila hupendeza zaidi akivaa nyekundu, white.
 
Hivi jamani, kwani mada inasema "rangi ya nguo za ndani za mwanamke" ? Naona mada inazodoa wadada tuuuu! Wa kaka wao wanavaa bukta?
 
Kikubwa ni usafi kwanza kuhusu rangi mi naona inategemea na design ya chupi mfano nimevaa bikini yangu ya less nyekundu na bra nyekundu mi naona natoka sexy ila ukivaa michupi mikubwa kwa rangi izo hupendezi coz unaweza vaa chupi nyeupe ukaonekana kawaida na ukawa unanuka kwanza galz wengi izo chupi anajua sasaivi ndo anamtoko ndo anavaa ,,, mimi sipendi izo chupi kubwa napenda chupi ndogo sio chupi inaziba ---- lote mmmh wala
 
Siku hizi hawavai chupi-kabisa, wanavaa tukamba kamba hivi, .................................!:rockon:

VUA T*kO tuone chupiiiii..............!:tape2:
 

Duh ..!
 
mie napendaga white, daah
i like it most,
kwa mwingine i don't care about colour.
 
Kuna watu wanaishi kwenye dunia ya kufikirika. kama wewe huvai haimaanishi kwamba hazina maana. Na tafiti zinaoonyesha kwamba kila mtu anavutiwa na aina fulani ya rangi. wewe jiulize kwa nini nguo zinafanana kimtindo kimshono lakini kila mtu anachukua rangi tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…