hebu angalia majibu hapo juu afu utoe na ya kwako
Nasubiria mengi zaidi . . . mie sina jibu.
My mind is blank ....mie I though ni uzazi wa mpango tu au kuna maana nyingine tena
Wadau,
hii rangi ya kijani inamaana yoyote ile katika mahusiano?
I know about Red and White only..
hebu nijuzeni kwa hii ya kijani.
kumbe mapenzi yanaendeshwa na rangi! ndo mana hayadumu sikuhz! ukiona rangi ya kijani ujue ni fisadi na mwizi si unaona kwenye chama chetu cha ccm.
ha ha ha ha! chachandu ipi? ya kiunoni au ile ya pilipili? appertizer
Naomba nipokeee nakuja PM
^^
Ha ha ngoja wataalam waje! Mi nilidhani inaashiria uzazi wa mpango
^^
kumbe mapenzi yanaendeshwa na rangi! ndo mana hayadumu sikuhz! ukiona rangi ya kijani ujue ni fisadi na mwizi si unaona kwenye chama chetu cha ccm.
kijani mpaka iwe na nyota samahani lakini