Rangi ya kamba ya kupandishia Bendera ya Taifa ni ipi?

danhoport

JF-Expert Member
May 20, 2020
1,607
3,195
Habari za humu ndugu zangu Watanzania, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nilikuwa nataka kufahamu kama kuna rangi rasmi ya ile kamba ya kupandishia bendera ya nchi.

Nimeona pale ofisi ya takwimu (Kivukoni) wametumia kamba ya rangi nyekundu, Benki ya Maendeleo wametumia kamba ya rangi ya blue, Mahakamani wametumia kamba ya rangi ya kijani na Kilimanjaro Hotel wametumia kamba ya rangi ya blue.

Je, kuna rangi maalum kwenye kamba ya bendera ya nchi au rangi yoyote tu inatumika?
 
Back
Top Bottom