Rangi niipendayo

Ipo rangi niipendavyo
Napenda nimuanavyo
Akishatinga kihivyo,
Nashindwa kuwa mchoyo!

Sipendi kwangu mwenyewe
Ila yeye aivae
Nikimwona atambue
Naipenda aelewe!

Ipo rangi upendayo
Rangi ya mwenzako huyo
Akijipamba mwenzio
Mwingine hamzidi huyo..

Na. M. M. Mwanakijiji

Ya kwangu ni Zambarau ya Kifalme (Royal Purple)
Ya kwangu mimi nyekundu,
Ikivaliwa kitundu,
Nguo isikose tundu,
Nazimia kwa kiwewe.

Kwa huyo aivaaye,
Nguoye imkaaye,
Tena na imbanaye,
Nafurahi kuwa kuwa naye..

Mwiliwe ujaejae,
Mwendo usimkatae,
Tabasamu limkae,
Huba itafika kwake.........
 
we nawe!nyekundu akipigwa na radi je?
Ya kwangu mimi nyekundu,
Ikivaliwa kitundu,
Nguo isikose tundu,
Nazimia kwa kiwewe.

Kwa huyo aivaaye,
Nguoye imkaaye,
Tena na imbanaye,
Nafurahi kuwa kuwa naye..

Mwiliwe ujaejae,
Mwendo usimkatae,
Tabasamu limkae,
Huba itafika kwake.........
 
i love hot Pink nyingine iko kwenye blanks (......)
bridesmaid+shoes.jpg
 
watu mmeambiwa rangi.. mnaanza miguu, mara kiuno, mara zipu, huko mtakoishia hakutabakia na rangi!! ndio maana mafisadi wanatuonea!
 
Black is mine too! lkn sijaelewa ni rangi ya alichokivaa ama rangi yake yeye?

Nway MMK man kudos! nimeona hiyo clea...
 
Ya kwangu mimi nyekundu,
Ikivaliwa kitundu,
Nguo isikose tundu,
Nazimia kwa kiwewe.

Kwa huyo aivaaye,
Nguoye imkaaye,
Tena na imbanaye,
Nafurahi kuwa kuwa naye..

Mwiliwe ujaejae,
Mwendo usimkatae,
Tabasamu limkae,
Huba itafika kwake.........
ha ha ha comrade kumbe nawe umo kwa hii fani!! nimesha do the needful
 
ha ha ha comrade kumbe nawe umo kwa hii fani!! nimesha do the needful
Heheh! Nimeiona.
Ukiona hivyo ujue nna hang'over.
Hii kichwa bila hang'over huwa hamna kitu kabisa. Nimekugongea Senksi kakague:D:D
 
ww na mwenzio kaizer mlochangia maskio ya mtoto leteni hela ya pasaka y amtoto wenu asa wise ntaenda ustawi
Heheh! Nimeiona.
Ukiona hivyo ujue nna hang'over.
Hii kichwa bila hang'over huwa hamna kitu kabisa. Nimekugongea Senksi kakague:D:D
 
ww na mwenzio kaizer mlochangia maskio ya mtoto leteni hela ya pasaka y amtoto wenu asa wise ntaenda ustawi
Taratibu. Wife unamwona hapo chini? Utaharibu.
Afu hujasema rangi yako ni ipi?
 
wife bongo?kwani hajui una mtoto?nimechagua mbn?
Halafu nshajua wewe ni mwongo.Hakuna cha mtoto wala nini.Mchumba wangu ni mwaminifu.Namwamini na kamwe hawezi nisaliti.Labda kajaribu kwa kaizer,unaweza kumpata.
Na huu mjadala nimeuufunga rasmi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom