Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,587
- 18,984
- Thread starter
- #61
Soma comment zangu kwa umakini!tufanye biashara boss nitumie Email hapa
mkubwagm@gmail.com tufanye maelewano nipo Arusha
Soma comment zangu kwa umakini!tufanye biashara boss nitumie Email hapa
mkubwagm@gmail.com tufanye maelewano nipo Arusha
milioni 400 unahangaika kutafuta mteja jamii forum ..bange mbaya sanaRais wako wa jamhuri anaingia kuchungulia humu sembuse mimi? Hata wew unaweza kununua kali zaidi ya hilo sema hujaamua!
Kaka upo sahihi soma maelezo yangu kwa umakini! Hiyo picha ya gari hapo juu nilichukua kama sample huwez kuitofautisha na hyo ila kuna vitu vingine nilipenda viogezewe hiyo hapo juu haina milango mitano ila iliyopo ina milango mitano!Mkuu hiyo milango mitano ipi ?,mingine haionekani au ndio ushamba wangu ngoma ina milango unseen ??
U ar right!milioni 400 unahangaika kutafuta mteja jamii forum ..bange mbaya sana
Mwenye kiti wa IPP kila siku namwona aki tweet! kuna mda wa kazi na mda wa kupumzisha akili!Wenye uwezo wa kumiliki hizi gari zenye thaman ya million.400 sizani kama wapo jamii forum..wao mda wte wanawaza jinsi gani wataongeza faida hawana mda wa kupoteza social media na wakitaka gari za aina hiyoo hawezi kuja umu jf kuitafuta..
Ila hawezi na haiwezi tokea mtu kama uyoo ulyemtaja akanunua gari ya matumizi yake binafsi mkononi kwa mtu hasa kwa mtu kama wew amabaye ata theruthi hutarajii kumfkia..na ukiona kanunua kwako jichunguze saanaMwenye kiti wa IPP kila siku namwona aki tweet! kuna mda wa kazi na mda wa kupumzisha akili!
Mwezi kama sikosei nilikwepo Kilimanjaro kwa mjomba ambae ni mwalimu mkuu nilienda kumtembele hapo shuleni kwake ila cha kushangaza hapo shule sikukuta wanafunzi nikamuliza akanijibu walienda kutafuta maji nikajaribu kuvaa uhusika wa mwalimu nikaandika hapa jf mwakati mita chache unafika kwa mkuu wa wilaya sijui matatizo ya hapo shule kana anayaonaMkuu field ya shule za msingi rombo ulishamaliza......?
Ulichouliza umekielewa kweli kabla hujaniuliza na nilicho kujibu umekielewa?Ila hawezi na haiwezi tokea mtu kama uyoo ulyemtaja akanunua gari ya matumizi yake binafsi mkononi kwa mtu hasa kwa mtu kama wew amabaye ata theruthi hutarajii kumfkia..na ukiona kanunua kwako jichunguze saana
Milango naona miwili na wa nyuma[tailgate] wa tatu.Umechambua vizuri sana kaka!
Gari haina cha ziada au special ambacho magari mengine yanaweza kuwa navyo au yasiwe navyo kumbuka hadi kufikia gharama kubwa kama navyo taka kuliuza gari sijaichukua yard au sijaagiza be foward sijatumia wakala yoyote bro! Gari niliiyona kwenye mtandao nikalipenda na nikachukua picha kama sample nikaingia constract na kampuni ya range wanitengenezee kama navyo taka mim wanacho angalia wao ni maslai ya hela tu! Kipi nikiongeze na kipi nisikiweke ndiyo maana unaona gharama imepaa ila sijaweka bei halisi yake hadi kukamilika! Gari kama unavyo iyona hapo juu kila kitu ila ina milango mitano, Inauwezo wa kutembea bila mafuta kutoka Morogoro hadi dar kingine ina bulatt proof haipitishi risas, speed yake ni mara mbili ya range ya kawaida! Ndani ya miaka 7 ikiharibika unatumia speare kwa gharama zao! Bonus niliyopewa ni kusafirishiwa bure hadi bandarini! Ina vitu vingi sana hivyo nivichache!
Mkuu ndio maana nikasema huyu jamaa hajui magari na huenda ametoa picha mtandaoni kuja kufurahisha jamvi...au kutafuta madem kama wengine wanavyosematzs 400m ni karibu $200,000.....Hii evoque yako ina nini special?!!!
2016 Land Rover Range Rover Evoque/MSRP
View attachment 344460
From $41,475
View attachment 344461
2016 Land Rover Range R...
From $84,950
View attachment 344462
2016 Land Rover Range R...
From $64,950
View attachment 344463
2016 Land Rover Discovery...
From $37,455
Amesema pia inaweza kutembea Dar mpaka Moro bila mafuta!!!Milango naona miwili na wa nyuma[tailgate] wa tatu.
Mkuu nimeipenda nitafute tufanye biashara ila iwe imepita kwenye njia halali isiwe ilipata kiujanja ujanja pale bandariniGari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!
![]()