Range rover new model (2016) inauzwa!!

Range rover new model (2016) inauzwa!!

Kajiuzia mwenyewe.
Maana picha yenyewe na gari yenyewe balaa tupu
400m?lazima TRA wakutafute,tatizo in 2yrs unakuwa kama unaendesha vitz vile,maana kizazi kinakuja kipyaa
 
Umechambua vizuri sana kaka!

Gari haina cha ziada au special ambacho magari mengine yanaweza kuwa navyo au yasiwe navyo kumbuka hadi kufikia gharama kubwa kama navyo taka kuliuza gari sijaichukua yard au sijaagiza be foward sijatumia wakala yoyote bro! Gari niliiyona kwenye mtandao nikalipenda na nikachukua picha kama sample nikaingia constract na kampuni ya range wanitengenezee kama navyo taka mim wanacho angalia wao ni maslai ya hela tu! Kipi nikiongeze na kipi nisikiweke ndiyo maana unaona gharama imepaa ila sijaweka bei halisi yake hadi kukamilika! Gari kama unavyo iyona hapo juu kila kitu ila ina milango mitano, Inauwezo wa kutembea bila mafuta kutoka Morogoro hadi dar kingine ina bulatt proof haipitishi risas, speed yake ni mara mbili ya range ya kawaida! Ndani ya miaka 7 ikiharibika unatumia speare kwa gharama zao! Bonus niliyopewa ni kusafirishiwa bure hadi bandarini! Ina vitu vingi sana hivyo nivichache!

Mkuu si ungeweka picha yake halisi basi na reg number Zake kuliko hiyo picha ya Google
 
hakuna hata gari iliyouzwa hapo chai ya zamani sana hii...wala gari iliyokua inauzwa.
 
Hiyo picha uliochukua Google no ya evoque sio range unayomaanisha wewe,back to the topic ndo maana hizi gari hata baadhi ya wenye ukwasi hawanunui sababu ikifika kwenye kuliuza inakua kazi kweli kweli.wengine wamezipachika jina magari ya ndoa ya kikatoliki,huachani nalo.
ila 400m ni hatari hapo asee,kila la kheri.

Hizi gari mkuu zina wenyewe ambao hawanunui kwa mategemeo ya kufilisika k/kutwa na kuliuza.Halinunuliwi na wenye vipato vya kubahatisha au kuangukiwa ngekewa au hela ya maganji na udalali bali uwe na shughuli halali inayoweza kukupa faida isiyopungua milion au zaidi kwa siku.Service mbili tu za hiyo gari kwa authorized dealer ni thamani ya vitz/opel nk.Kwao hawategemei kuiuza wanaweka bandani na kununua model watakayo.Makapuku sisi shida hadi kwenye nywele hata lift tu utawaza mara tatu.
 
umechoka kugongea dada zetu huku mitaani , umestukia dili ungeondoka na kg 2.3
 
Nakumbuka nyimbo moja ya mda ya professor j inasema kunawatu wana magali hadi ya million mia mbili kwa wale wezangu na mim wasio amini sijui nin...nimesahau kidogo so yawezekana kweli
 
Back
Top Bottom