Na yosefu.Yesu na Maria.....
Yaani ukijumlisha mil 100= Zawadi ya mshind wa big brother,,,Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!
![]()
acha utani mkuu hiyo ni evoque bhana freelander haipo hivyo btw, amesema ishauzwa![]()
Mbona imekaa kama Land Rover Freellander mkuu ebu kuwa mbunifu kiduchu JF wanaingia watu wengi vichwa kweli kweli.
Mkuu wangu angalia vizuri ni new model 2016 nilichukua mwenyewe na kuisafirisha![]()
Mbona imekaa kama Land Rover Freellander mkuu ebu kuwa mbunifu kiduchu JF wanaingia watu wengi vichwa kweli kweli.
Mpo ila hamuonekani sasaJamani mbona waendeshaji tupo, tunaendesha miguu tu
Mkuu hii ni Land-Rover-Range-Rover-Evoque na wala sio freelander.acha utani mkuu hiyo ni evoque bhana freelander haipo hivyo btw, amesema ishauzwa
Soma vizuri maeleka kaka nilisema haina dalali!Hata udalali huuwezi ,,HIV hiyo gari IPO WAP hapo?
hahahahah!! 400mlNimejuta kupungua hapa huku nimesimama, nimejikwaa nikaanguka mxyuuuu
Jamani mbona waendeshaji tupo, tunaendesha miguu tu
Evelyn Salt jibu thathaMpo ila hamuonekani sasa
Ha ha ha oyaaaEvelyn Salt jibu thatha
enhe.!
Acha tu babahahahahah!! 400ml
Naomba kazi ya uderevaMpo ila hamuonekani sasa


milion 400 kiruuuu.... Hapo napata nyumba nzuri sana kwa 70mil. Napata gari nzuri sama ya kutembelea kwa mil 8 tu yaani nzuri ajabu. 
Wakati wao hakukuwa na haya magari.Yesu na Maria.....
Wenye hizo pesa hatuingii JFGari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!
![]()