Range rover new model (2016) inauzwa!!

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
7,765
16,980
Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!

2016-Land-Rover-Range-Rover-Evoque-side-angle-red-color.jpg

Hiyo picha uliochukua Google no ya evoque sio range unayomaanisha wewe,back to the topic ndo maana hizi gari hata baadhi ya wenye ukwasi hawanunui sababu ikifika kwenye kuliuza inakua kazi kweli kweli.wengine wamezipachika jina magari ya ndoa ya kikatoliki,huachani nalo.
ila 400m ni hatari hapo asee,kila la kheri.

Halafu kila baada ya muda mfupi inakuja model nyingine hapo ndo utakapotia akili na milioni 400 zako

Hiyo picha uliochukua Google no ya evoque sio range unayomaanisha wewe,back to the topic ndo maana hizi gari hata baadhi ya wenye ukwasi hawanunui sababu ikifika kwenye kuliuza inakua kazi kweli kweli.wengine wamezipachika jina magari ya ndoa ya kikatoliki,huachani nalo.
ila 400m ni hatari hapo asee,kila la kheri.
Asante mkuu!!

Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!

2016-Land-Rover-Range-Rover-Evoque-side-angle-red-color.jpg

Mkuu hebu kuwa serious kama kweli wataka kufanya biashara. Weka tangazo lenye mvuto nikiwa na maana jitahidi kuweka maelezo yote yanayohusiana na bidhaa yako husika. Fanya tangazo liwe lenye mvuto hata mteja anakuwa hahitaji kukuuliza maswali
But all in all, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi wa malengo yako ya kuuza kwa haraka

Chuma kishauzwa hicho kaka....

Similar Discussions

Back
Top Bottom